Natamani nikiolewa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine tuwe wawili

I totally agree with you.
 
Ila wewe ni changamoto asee!!
 
Eeh mitaala inaleta balance sana sema tu nivile mmekumbatia uzungu😅!

Hata mume tu akiwa na mchepuko ni raha sana yani hamna genye za ajabu ajabu zile yani unakuwa mda wote upo calm maana hauna kipengele😅 na ukihitaji huduma ni instant maana wakati mke mmoja yupo period mwengine anachakatika freshi!
 
Ugomvi utatoka wapi na wakati unajua ukimtibua atahamia kwa mwenzio!

Visirani vingi vya wanawake ni sababu mnahisi mwanaume hana options unamnyima tu unavyojiskia na hatakiwi kula mzigo nje, matokeo yake mnaishia kuteseka tu maana mizigo nje lazma iliwe japo kwa wizi!

Ila ile hali ya kujua kuwa mume atakususa inakurudisha katika form kabisa!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ni kweli bana ujinga wakuhangaika na mume awe tu na wengi ili na mimi niwe busy na kazi bana, mambo ya kujibana na kujipa shida mimi siwezi kabisa, tena inanipunguzia kero nakuwa na uhuru mwingi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ni kweli bana ujinga wakuhangaika na mume awe tu na wengi ili na mimi niwe busy na kazi bana, mambo ya kujibana na kujipa shida mimi siwezi kabisa, tena inanipunguzia kero nakuwa na uhuru mwingi
Heheheheh ila cha ajabu wewe ndio utakuwa wa kwanza kupekuwa mume anawasiliana na nani!
 
Visirani huwa ni hulka tu ya mtu yoyote unafikiria ni vile mtu hana options ni ka behavior kachafu ka mtu anakojiendekeza tu kukera mwenzake. Mimi mwanamke ila huwa sipendi watu visirani kabisa, ni vizuri kukutana mkimisiana hadi mzunguko uje na wewe ushafanya yako
 
[emoji23][emoji23][emoji23]why changamoto mimi napenda uhuru sana na hata baby wangu nataka huru afanye anachotaka tusibanane banane hovyo kisa sijui mahusiano.
Ila wewe uhuru huo huwezi upata 😅 uhuru wa kutest mikuyenge mbali mbali haupo
 
Heheheheh ila cha ajabu wewe ndio utakuwa wa kwanza kupekuwa mume anawasiliana na nani!
Mimi huwa sigusi kabisa hata kuhangaika na simu yake hata tukiwa pamoja tena wanawake hupiga naona hapokei na mimi sihangaiki hata kidogo na yeye hagusi yangu[emoji23][emoji23]huwa ananiuliza why acting like this, namwambia utajiju mwisho huniona sijakua eti simpendi
 
Shenzi yani na ww ufanye yako kweli😅😅😅 tuliza qinembe mama! We uhuru unaotaka ni wa kujifanyia unavyojiskia hata nje ya miko! Huo hauwez upata
 
Muko njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…