Sio kutest tofauti ni basi tu tusibanane ka rubaIla wewe uhuru huo huwezi upata [emoji28] uhuru wa kutest mikuyenge mbali mbali haupo
[emoji23][emoji23][emoji23]sio kujifanyia ni takayo nikuwa tu huru na mambo yangu mtu asiingilie hovyo hovyoShenzi yani na ww ufanye yako kweli[emoji28][emoji28][emoji28] tuliza qinembe mama! We uhuru unaotaka ni wa kujifanyia unavyojiskia hata nje ya miko! Huo hauwez upata
[emoji23][emoji23][emoji23]ulijuaje huyo shemale,hakukugeuzia kibao kweliInawezekana we ni shemale unataka mke mwenza ili nawewe umkaze hi inaweza kua true story maana yupo Dada hpa JF naye ni shemale ukimtongoza anakulazimisha umuoe Kwanza kumbe Hana mbususu ana mkoma mkubwa sana njoo pm nikuunganishe naye labda atakushauri ufanye nini
Swala la uhuru wa kupeleka viguu vyako lodge ya jirani haliwezi achwa kuingiliwa😅[emoji23][emoji23][emoji23]sio kujifanyia ni takayo nikuwa tu huru na mambo yangu mtu asiingilie hovyo hovyo
Huniona siko serious vileMuko njema
Siendi lodge ni kupenda tu uhuru basiSwala la uhuru wa kupeleka viguu vyako lodge ya jirani haliwezi achwa kuingiliwa[emoji28]
Sawa we unafaa kwa mahusiano ya dormant volcano!Sio kutest tofauti ni basi tu tusibanane ka ruba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa hatari sana!!Sawa we unafaa kwa mahusiano ya dormant volcano!
Simu ikiita ni baada ya miezi mitatu na actually ni kuitiwa mashine like yow bebe nimekumisi uko wapi mke wangu[emoji28]... Nipo home bored...Well njoo kwangu basi i miss u sana! Mkimalizana hapo ni miezi tena kila mtu afanya yake.
Unaonekana wafit sana humu!
Ili awe anawapiga 3some?Habari zenu wakuu,
Sijui ni kawaida? I'm 27 yrs lakini katika kuishi kwangu kote mpaka leo, nimekua nkitamani siku nikiolewa baada ya muda kadhaa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine...yaani naona kama tukiwa wawili ndoa itakua na Raha.
Sitaki kuwa bi mdogo au mke wa pili nop natamani tu niwe mke mkubwa afu mme wangu nimruhusu aoe mwingine ambae natamani tuwe na amani. Nawaona wake za baba yangu mkubwa yaani wanapendana huwezi Dhani ni wake wenza.
Japo kwa dini yetu ya kikristo wanaamini ni dhambi but.
Personally nimeyatamani sana haya maisha.
Nikiangalia familia mbili za baba angu tunavyoishi, sina hamu na suala la wake wawili.Habari zenu wakuu,
Sijui ni kawaida? I'm 27 yrs lakini katika kuishi kwangu kote mpaka leo, nimekua nkitamani siku nikiolewa baada ya muda kadhaa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine...yaani naona kama tukiwa wawili ndoa itakua na Raha.
Sitaki kuwa bi mdogo au mke wa pili nop natamani tu niwe mke mkubwa afu mme wangu nimruhusu aoe mwingine ambae natamani tuwe na amani. Nawaona wake za baba yangu mkubwa yaani wanapendana huwezi Dhani ni wake wenza.
Japo kwa dini yetu ya kikristo wanaamini ni dhambi but.
Personally nimeyatamani sana haya maisha.
Na na mimi nasisitiza ni ndoa chache mno zenye wake wengi ambazo zina amani.Wake wawili bila uchumi imara na nguvu za kutoaha za mwanaume; ni kujiongopea. Ni ndoa chache mno za wake wengi zenye amani
Shadeeya naomba nikuwowe muke wa pili.Kwa kweli Mkuu!
Japo musiliwahishe kulijenga kwanza mpaka anayotamani yatimie. [emoji3]
Labda huyo jamaa awe Marioo jazz band!![emoji23][emoji23][emoji23]why changamoto mimi napenda uhuru sana na hata baby wangu nataka huru afanye anachotaka tusibanane banane hovyo kisa sijui mahusiano.
Mwanaume ana teseka hapo kaka, huyu dada anaonekana ni pasua kichwa 🤦♂️Muko njema
Huyu jamaa michango yake huwa inani chekesha sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa hatari sana!!