Weee usiniambieNingepata dem mwenye lips kama hizo zako ningeacha makando kando yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu acha kukaza fuvu basi😂😂😂Ndio nani tena ndugu yangu
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nimekuja kwa kasi umenifungulia uziJirani ulipotelea wapi?
Jirani Niko matured kishenzi aise
Legeza moyo na mambo mengine yanasovika kwa kuzungumza kwa Lengo la kusovu/ kuweka sawa!Si kila mtu anaweza kuzungumza….zaidi ya kuumia🥺
Ni kizuri sema hakijapatapo mwalimu mzuri wa kunirekebisha..🤣🤣🤣🤣kichwa yako si nzuri dadiloo
Sema kweliBhana weee nimekamatika na mtoto wa mama mkwe
Na mara nyingi kweli hazifiki. Sasa kama mwamba anapenga kamasi kwa kilio huko atajuaje yanayojiri huku🤣Ndio ndio, hivi ujumbe unachelewa sana kufika au unaweza usifike kabisa😂😂😂
Wekeza tu kwenye huo upendo kwa 100%! Hayo makandokando mwachie mwenyewe.Yes asilimia mia sijakosea…lakini unamakando kando mengi(nayajua )na yananiumiza.
Hapi nu yia