Mzee wangu fungua kanisa /hema uwe mchungaji utachangiwa maburungutu ya kutosha km wale wakina fulani wa sehemu sehemu ni wanamwagiwa mihela tu na watu fulani kisa wanaomba dua kwa hio wanapewa hela ya chai na sasa hivi wamefika mbali wanazo mpaka call center yaan customer care service km umekosea kutuma muamala wa sadaka unapiga hio namba kwa msaada zaidi ili waizuie hio hela irudi kwao, siku hizi wana vifurushi vya maombi kuanzia basic standard, premium mpaka plus plus hivyo vifurushi vyote ni maburungutu tu yanaingia na hawalipii kodi, hilo ni wewe tu kuamua ongea vizuri na system ikupe eneo na ikujengee eneo lako km wale wakina fulani najua unawajua huyo Mchawi wa Wachawi hakuongea na system angeongea na system mpaka sasa angekua anatrend km wenzie maana hana tofauti nao yoyote wote ni walewale tu