Natamani nipigane na member anayejiita Maghayo nimpasue

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
17,595
Reaction score
39,893
Moja kwa moja.

Sio kwamba namchukia kufikia levo hiyo hapana , ila ninakaugonjwa Cha kupenda kuwakomesha Wazembe , Wajinga , Wahalifu , Wapumbavu na wengine mfano wao.

Pamoja na Mgerasi Busu la Kenge Maghayo The Mongolian Savage kuwa kwenye kifungoni kirefu yeye na genge lake ila bado natamani nikutane nae live tuzichape mpka bingwa apatikane na akitokea mdhamini wa hilo pambano Mimi niko tayari nimpasue Mzee wa watu Maghayo.

Tena nitaruhusu avute Mabange yake kabla ya pambano maana asije leta kisingizio kwamba alipigwa kisa alikosa mizuka yake ya KikaLdayo anayopata akipiga bange zake.

Maghayo ukikibali hili pambano jinsi nilivyokuwa na usongo na wewe nakuhakikishia mapema sana ushapigika vibaya mno tena nitakupiga kama mbusi aliyekula mazao shambani kwangu nilipolima kwa pesa za mkopo Maarass!!!

Updates:

Pamoja na Wadhamini na wapambe wa pambano kujitokeza ila Mzee Maghayo Busu la Kenge ametokea Porini hajatoa neno mpaka sasa bado anaogopa .

Sasa Mimi nitachukua uagamuzi Mgumu nitarusha ICBM (Intercontinental ballistic missile) kutokea Buza kwa Lulenge mpaka Maghetoni kwake USA . Siwezi Kukubali Maghayo alirelax I should punish him brutally...
 
"nitakupiga kama mbusi aliyekula mazao shambani kwangu"

Kama unapiga mboga kwa msisitizo kwa kula mazao yako JITATHMINI.

Kwasababu watumiaji wengi wa JF akili zimecorrupt pambano lipigwe na Mrejesho wa pambano unganishwe kwenye huu Uzi Tafadhali.
 
Moja kwa moja.

Sio kwamba namchukia kufikia levo hiyo hapana , ila ninakaugonjwa Cha kupenda kuwakomesha Wazembe , Wajinga , Wahalifu , Wapumbavu na wengine mfano wao.

Pamoja na Mgerasi Busu la Kenge Maghayo The Mongolian Savage kuwa kwenye kifungoni kirefu yeye na genge lake ila bado natamani nikutane nae live tuzichape mpka bingwa apatikane na akitokea mdhamini wa hilo pambano Mimi niko tayari nimpasue Mzee wa watu Maghayo.

Tena nitaruhusu avute Mabange yake kabla ya pambano maana asije leta kisingizio kwamba alipigwa kisa alikosa mizuka yake ya KikaLdayo anayopata akipiga bange zake.

Maghayo ukikibali hili pambano jinsi nilivyokuwa na usongo na wewe nakuhakikishia mapema sana ushapigika vibaya mno tena nitakupiga kama mbusi aliyekula mazao shambani kwangu nilipolima kwa pesa za mkopo Maarass!!!
Naruhusiwa kudhamini pambano?
 
Vile anakuzoom

812658.jpg
 
"nitakupiga kama mbusi aliyekula mazao shambani kwangu"

Kama unapiga mboga kwa msisitizo kwa kula mazao yako JITATHMINI.

Kwasababu watumiaji wengi wa JF akili zimecorrupt pambano lipigwe na Mrejesho wa pambano unganishwe kwenye huu Uzi Tafadhali.
Na wewe akili zime-corrupt?
 
Back
Top Bottom