binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Shemu wenu nitaanza kulia 😅Shem na mimi naomba nipigane na yule ndebile Half american
Shemu wenu nitaanza kulia 😅Shem na mimi naomba nipigane na yule ndebile Half american
Usilie mapema shem, subiri msiba wake tuka ibe ngozi ya nusu albino 😆 😂Shemu wenu nitaanza kulia 😅
Si Umeiona mwenyewe video aliyojirokodi hapo ?Unatumia bangi ndugu Busu la kenge?
Hapana, unadhani akili zako zime-corrupt ?Na wewe akili zime-corrupt?
Toa hiyo picha kwenye uk..wako ,kama hujajua yeye ndo maghayo
kwamba atajidundaPigana na ujue utadundwa
Nimeiona kaka…, nimeitazama na kuisikiliza kwa makini zaidi ya mara tatu huku nikitafakari huyu mtu ni mzima kweli 🤔😂🙌🏾Si Umeiona mwenyewe video aliyojirokodi hapo ?
Ndio maana nataka niponde huyo Busu la Kenge mpaka bange zimtoke kichwani.
Moja kwa moja.
Sio kwamba namchukia kufikia levo hiyo hapana , ila ninakaugonjwa Cha kupenda kuwakomesha Wazembe , Wajinga , Wahalifu , Wapumbavu na wengine mfano wao.
Pamoja na Mgerasi Busu la Kenge Maghayo The Mongolian Savage kuwa kwenye kifungoni kirefu yeye na genge lake ila bado natamani nikutane nae live tuzichape mpka bingwa apatikane na akitokea mdhamini wa hilo pambano Mimi niko tayari nimpasue Mzee wa watu Maghayo.
Tena nitaruhusu avute Mabange yake kabla ya pambano maana asije leta kisingizio kwamba alipigwa kisa alikosa mizuka yake ya KikaLdayo anayopata akipiga bange zake.
Maghayo ukikibali hili pambano jinsi nilivyokuwa na usongo na wewe nakuhakikishia mapema sana ushapigika vibaya mno tena nitakupiga kama mbusi aliyekula mazao shambani kwangu nilipolima kwa pesa za mkopo Maarass!!!
Mkuu siwezi kuwa na rafiki mpuuzi kama Busu la Kenge , hii nipo siriaz nataka nimpasueNyie ni marafiki mnatuchora tu hapa .
Ukikosa pambano niko hapa kureplace pambano maana muda sana sijapiga mateke yangu kama vandame