Moja kwa moja.
Sio kwamba namchukia kufikia levo hiyo hapana , ila ninakaugonjwa Cha kupenda kuwakomesha Wazembe , Wajinga , Wahalifu , Wapumbavu na wengine mfano wao.
Pamoja na Mgerasi
Busu la Kenge Maghayo The Mongolian Savage kuwa kwenye kifungoni kirefu yeye na genge lake ila bado natamani nikutane nae live tuzichape mpka bingwa apatikane na akitokea mdhamini wa hilo pambano Mimi niko tayari nimpasue Mzee wa watu
Maghayo.
Tena nitaruhusu avute Mabange yake kabla ya pambano maana asije leta kisingizio kwamba alipigwa kisa alikosa mizuka yake ya KikaLdayo anayopata akipiga bange zake.
Maghayo ukikibali hili pambano jinsi nilivyokuwa na usongo na wewe nakuhakikishia mapema sana ushapigika vibaya mno tena nitakupiga kama mbusi aliyekula mazao shambani kwangu nilipolima kwa pesa za mkopo Maarass!!!