Natamani nipigane na member anayejiita Maghayo nimpasue

😁😁😁😁😁😁😁 Astaghafilullah shekhe
 
😁😁😁😁😁😁😁😁 Tena huyo anaejiita Busu La Kenge ndo hovyo kabisa shekhe wangu
 
Ila limekupendeza sana mrembo/ bloh
Imenipendeza sana mkuu sababu Mimi ni Paka mwenye jasiri mwenye akili nikiona Panya ana Mimba basi simfanyii haraka namuacha mpaka azae kisha nimle yeye na wanae maana hapo vitoweo vinakuwa vingi.

Ndio maana mashambulizi yangu nafanya kwa akili bila kupanic Wala papara na ndivyo hivyo mpka Leo Tumbili wa Mjini na ID yake ya Kike imeunganishwa na kupotea mazima , hahahahaha!! et #JusticeForTumbiliWaMjinj , Maarass!! aliingia kwenye Temporomandibular joint akatafunwa same the same story kwa Maghayo Busu la Kenge and his proxy IDs like The Mongolian Savage
 
Tumbili wa Mjini yupo na ataendelea kutamba, ila fresh tu mrembo/ bloh
 
Updates:

Pamoja na Wadhamini na wapambe wa pambano kujitokeza ila Mzee Maghayo Busu la Kenge ametokea Porini hajatoa neno mpaka sasa bado anaogopa .

Sasa Mimi nitachukua uagamuzi Mgumu nitarusha ICBM (Intercontinental ballistic missile) kutokea Buza kwa Lulenge mpaka Maghetoni kwake USA . Siwezi Kukubali Maghayo alirelax I should punish him brutally...
 
Ukihitaji cameraman wa kurekodi tukio zima na kulileta hapa jf moja kwa zote.
Basi mcheki Poor Brain , huyu jamaa video za bongo zinazovuja (connection) huwa anarekodi yeye.
Vishu ujue wewe unajipigia debe hapa kazi yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…