Songoro, hahahahahaha. nimechekaje??? Mh. Huku ni kwa kuhama kwa kweli. NAkosa raha ya kuwa karibu na maeneo yanayohusu. Nashkuru Mkuu wangu.Ondoka Milimani huko Kimara msogeze Coco beach utajuta kuchelewa kuomba ushauri, Kama una kipando mlete usiku utakuja kuleta thread ya Shukran kwa Ushauri!
hahahahahahah. JF ndio mambo yote kwa kweli. KakaJambazi bwana?!Mimba iyo. Ama kweli tz bila ngoma haiwezekani.
samaki mchanga au
Naomba wale wataalamu wa ramani please munielekeze sehemu yenye samaki wazuri wa kuchoma. Ikiwezekana iwe mitaa hii ya Mbezi ya Kimara. Sitaki kukipeleka ki baby changu mbali. Senkyu na karibuni twende wote.
ukishapata pakwenda nishtue twende wote..... Sawa!?
mweee!
Naomba wale wataalamu wa ramani please munielekeze sehemu yenye samaki wazuri wa kuchoma. Ikiwezekana iwe mitaa hii ya Mbezi ya Kimara. Sitaki kukipeleka ki baby changu mbali. Senkyu na karibuni twende wote.
ukishapata pakwenda nishtue twende wote..... sawa!?
Huogopi mimba zisizo tarajiwa?
queen kan we hutaki kwenda, si tumekaribishwa?
tabia mbaya, nakuthemea kwa mume wetu...lol!