Natamani Samaki wa Kuchoma na Chipsi mieeeeee

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,155
Reaction score
34,303
Naomba wale wataalamu wa ramani please munielekeze sehemu yenye samaki wazuri wa kuchoma. Ikiwezekana iwe mitaa hii ya Mbezi ya Kimara. Sitaki kukipeleka ki baby changu mbali. Senkyu na karibuni twende wote.
 
Ondoka Milimani huko Kimara msogeze Coco beach utajuta kuchelewa kuomba ushauri, Kama una kipando mlete usiku utakuja kuleta thread ya Shukran kwa Ushauri!
 
Njoo akachube-k'nyama

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Songoro, hahahahahaha. nimechekaje??? Mh. Huku ni kwa kuhama kwa kweli. NAkosa raha ya kuwa karibu na maeneo yanayohusu. Nashkuru Mkuu wangu.
 
Last edited by a moderator:
Njoo akachube-k'nyama

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
mdeki, thanks mkuu. Ila leo sitaki kwenda mbali na home kwa kweli. Ila nimeshakariri I sure will come labda next weekend.
 
Last edited by a moderator:
jiraniiiiiii naomba muongozoooo watu8
 
Last edited by a moderator:
Naomba wale wataalamu wa ramani please munielekeze sehemu yenye samaki wazuri wa kuchoma. Ikiwezekana iwe mitaa hii ya Mbezi ya Kimara. Sitaki kukipeleka ki baby changu mbali. Senkyu na karibuni twende wote.

ukishapata pakwenda nishtue twende wote..... sawa!?
 
Naomba wale wataalamu wa ramani please munielekeze sehemu yenye samaki wazuri wa kuchoma. Ikiwezekana iwe mitaa hii ya Mbezi ya Kimara. Sitaki kukipeleka ki baby changu mbali. Senkyu na karibuni twende wote.

Njoo New Vision Kimara Suka karibu na kituo cha mafuta.
 
Back
Top Bottom