Natamani Samaki wa Kuchoma na Chipsi mieeeeee

Natamani Samaki wa Kuchoma na Chipsi mieeeeee

Naomba wale wataalamu wa ramani please munielekeze sehemu yenye samaki wazuri wa kuchoma. Ikiwezekana iwe mitaa hii ya Mbezi ya Kimara. Sitaki kukipeleka ki baby changu mbali. Senkyu na karibuni twende wote.
huko ni kiti moto tuu mkuu,chipsi samaki choma nenda KAWE CLUB hutajutia
 
Mmmh!!! haya shemegi basi tutafutane panapo majaaliwa ya Maulana...mzima lakini weye?

hivi na wewe upo daslam eeh? haya ntakutafuta. mi mzima hofu na mashaka kwako ninaekufahamu kwa keyboard.
 
hivi na wewe upo daslam eeh? haya ntakutafuta. mi mzima hofu na mashaka kwako ninaekufahamu kwa keyboard.

Hahaha...miye nimejaa tele shem, huwa mara chache twakutana na mabest wengine kama ushawahi kukisikia kijiwe cha Leo Tupo Hapa...
 
njoo Pm nkupe raman

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Back
Top Bottom