Natamani sana andiko hili la hukumu ya Afande Bageni lisomwe vituo vya Polisi na Makazi yao kwenye Paredi

Paschal kumbe akili huna kabisa?! ELECTRIC CHAIR UNAIJUA WEWE??! Mara 100 unyongwe!!!!!!!
 
Kuna wimbo mmoja unasema, "Get rich or die trying"! Sijui unaujua?
 
Kama marais watatu wanaume, akiwemo rais jembe, rais shoka na rais chuma cha pua, Ben, JK na JPM, walishindwa kusaini, what are the chances mwanamke anyonge mtu?.
P
KWakuwa ipo na haijafutwa anaweza kuingia rais siku moja akaidhinisha watu wakaanza kula kamba, salama yao ifutwe tu na wala sio la swala la rais mwanamke ama nene.
 
 
Ina maaana waliowahi kuhukumiwa kunyongwa Tanzania hii na kunyongwa kweli ni watu wawili tu ?
 
Hivi Saad Alawi alipatikana?

Ingekuwa na maana kama Zombe naye angenyongwa, na IGP walipaswa kwenda jela miaka kadhaa Kwa kushindwa kusimamia vyema jeshi la polisi na kuleta vibaka baada ya walinda usalama.
Huyo sidhani km alipatikana
 
Paschal kumbe akili huna kabisa?! ELECTRIC CHAIR UNAIJUA WEWE??! Mara 100 unyongwe!!!!!!!
Kumbuka ni mtu mzima huyo unamwita hana akili na kumbuka machapisho yake lukuki yalojaa maarifa na elimu kibao,kupishana mawazo hakumtoe mtu akili
 
Kama marais watatu wanaume, akiwemo rais jembe, rais shoka na rais chuma cha pua, Ben, JK na JPM, walishindwa kusaini, what are the chances mwanamke anyonge mtu?.
P
Ina maaana aliyeajiriwa kunyonga watu hana kazi ,km hkn aliyewahi kunyongwa toka enzi za Mwalimu
 
Kuna watu wako aggressive sana na hela.
Naamini Kwa vyeo vyao walikuwa na uwezo kabisa wakutengeneza mchoro na kupiga hela nyingi sana zaidi hata ya hizo.

Wapo Dar hapo wauza madawa, wapiga mishindo, wazee wa magendo kazi yao hao ilikuwa kusindikiza tu na kupokea mipunga mirefu
 

Una ujinga mwingi wewe Paskali,Eti Rais Samia ni mwanamke hawezi kusaini!

Je ni sababu ya jinsia yake au unaona Nini kwenye jinsia kaka.
 
Kwa ujumla wake tu adhabu ya kifo haifai,nia ya adhabu ni kumrekebisha mkosaji na pia kumfanya ajutie kosa lake, lakini akihukumiwa kifo hatajinza kitu wala hatajutia makosa yake sana sana wewe unayemhumu nawe umetenda kosa lile lile la kutoa uhai wa mtu.
 
Kama yeye aliua kwa bunduki basi napendekeza na yeye afungwe kitambaa cheusi usoni na apigwe risasi hadi afe kama alivyoua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…