Natamani sana andiko hili la hukumu ya Afande Bageni lisomwe vituo vya Polisi na Makazi yao kwenye Paredi

Naunga mkono hoja,hii adhabu ya kifo kwa mtu kunyongwa mpaka afe,ni moja ya adhabu za the colonial legacy ambazo ni very barbaric,ndio maana Nyerere alisaini death warrant 2,Mwinyi akasaini kadhaa,Mkapa,JK na JPM hawakusaini hata moja!,Rais Samia ni mwanamke,hawezi kusaini!,its high time adhabu hii ifutwe!,na hata ikilazimika kubaki,sio kuua kwa kunyonga,tunaweza kuua kwa lether injection,au kwa electric chair,mtu anakufa in a civilized manner na sio barbaric!。 Tumsusitize Rais Samia,aupokee ushauri huu Leo Tanzania Yaamriwa Kuifuta Adhabu ya Kifo kwa Kunyongwa Mpaka Kufa!. Ni Aibu Tanzania Mpaka Ilazimishwe!. Rais Samia, Futilia Mbali Unyama Huu!
p
Paschal kumbe akili huna kabisa?! ELECTRIC CHAIR UNAIJUA WEWE??! Mara 100 unyongwe!!!!!!!
 
Pengine wakisomea waraka huo watatambua kuwa kuagizwa kutenda mabaya au kutenda kwa hiari mwisho unaweza kuwa sawa na SSP Bageni na kuacha kilio kwa family yako na mateso kwako mwenyewe.
Pia ni laana unaiacha kwa familia yako.
Ndugu zangu Polisi, tutumie mamlaka yetu kutenda haki ndio mtakuwa rafiki wa Raia wema na mwisho mzuri kwenu
Kuna wimbo mmoja unasema, "Get rich or die trying"! Sijui unaujua?
 
Kama marais watatu wanaume, akiwemo rais jembe, rais shoka na rais chuma cha pua, Ben, JK na JPM, walishindwa kusaini, what are the chances mwanamke anyonge mtu?.
P
KWakuwa ipo na haijafutwa anaweza kuingia rais siku moja akaidhinisha watu wakaanza kula kamba, salama yao ifutwe tu na wala sio la swala la rais mwanamke ama nene.
 
Naunga mkono hoja,hii adhabu ya kifo kwa mtu kunyongwa mpaka afe,ni moja ya adhabu za the colonial legacy ambazo ni very barbaric,ndio maana Nyerere alisaini death warrant 2,Mwinyi akasaini kadhaa,Mkapa,JK na JPM hawakusaini hata moja!,Rais Samia ni mwanamke,hawezi kusaini!,its high time adhabu hii ifutwe!,na hata ikilazimika kubaki,sio kuua kwa kunyonga,tunaweza kuua kwa lether injection,au kwa electric chair,mtu anakufa in a civilized manner na sio barbaric!。 Tumsusitize Rais Samia,aupokee ushauri huu Leo Tanzania Yaamriwa Kuifuta Adhabu ya Kifo kwa Kunyongwa Mpaka Kufa!. Ni Aibu Tanzania Mpaka Ilazimishwe! Futilia Mbali Unyama Huu! Wanaoua kikatili yaani wauawe kwa kubembelezwa? Tutakua tumemtendea haki marehemu kweli? Ilitakiwa unavyoua ndivyo uuawe.
 
Naunga mkono hoja,hii adhabu ya kifo kwa mtu kunyongwa mpaka afe,ni moja ya adhabu za the colonial legacy ambazo ni very barbaric,ndio maana Nyerere alisaini death warrant 2,Mwinyi akasaini kadhaa,Mkapa,JK na JPM hawakusaini hata moja!,Rais Samia ni mwanamke,hawezi kusaini!,its high time adhabu hii ifutwe!,na hata ikilazimika kubaki,sio kuua kwa kunyonga,tunaweza kuua kwa lether injection,au kwa electric chair,mtu anakufa in a civilized manner na sio barbaric!。 Tumsusitize Rais Samia,aupokee ushauri huu Leo Tanzania Yaamriwa Kuifuta Adhabu ya Kifo kwa Kunyongwa Mpaka Kufa!. Ni Aibu Tanzania Mpaka Ilazimishwe!. Rais Samia, Futilia Mbali Unyama Huu!
p
Ina maaana waliowahi kuhukumiwa kunyongwa Tanzania hii na kunyongwa kweli ni watu wawili tu ?
 
Hivi Saad Alawi alipatikana?

Ingekuwa na maana kama Zombe naye angenyongwa, na IGP walipaswa kwenda jela miaka kadhaa Kwa kushindwa kusimamia vyema jeshi la polisi na kuleta vibaka baada ya walinda usalama.
Huyo sidhani km alipatikana
 
Paschal kumbe akili huna kabisa?! ELECTRIC CHAIR UNAIJUA WEWE??! Mara 100 unyongwe!!!!!!!
Kumbuka ni mtu mzima huyo unamwita hana akili na kumbuka machapisho yake lukuki yalojaa maarifa na elimu kibao,kupishana mawazo hakumtoe mtu akili
 
Kama marais watatu wanaume, akiwemo rais jembe, rais shoka na rais chuma cha pua, Ben, JK na JPM, walishindwa kusaini, what are the chances mwanamke anyonge mtu?.
P
Ina maaana aliyeajiriwa kunyonga watu hana kazi ,km hkn aliyewahi kunyongwa toka enzi za Mwalimu
 
Kuna watu wako aggressive sana na hela.
Naamini Kwa vyeo vyao walikuwa na uwezo kabisa wakutengeneza mchoro na kupiga hela nyingi sana zaidi hata ya hizo.

Wapo Dar hapo wauza madawa, wapiga mishindo, wazee wa magendo kazi yao hao ilikuwa kusindikiza tu na kupokea mipunga mirefu
 
Naunga mkono hoja,hii adhabu ya kifo kwa mtu kunyongwa mpaka afe,ni moja ya adhabu za the colonial legacy ambazo ni very barbaric,ndio maana Nyerere alisaini death warrant 2,Mwinyi akasaini kadhaa,Mkapa,JK na JPM hawakusaini hata moja!,Rais Samia ni mwanamke,hawezi kusaini!,its high time adhabu hii ifutwe!,na hata ikilazimika kubaki,sio kuua kwa kunyonga,tunaweza kuua kwa lether injection,au kwa electric chair,mtu anakufa in a civilized manner na sio barbaric!。 Tumsusitize Rais Samia,aupokee ushauri huu Leo Tanzania Yaamriwa Kuifuta Adhabu ya Kifo kwa Kunyongwa Mpaka Kufa!. Ni Aibu Tanzania Mpaka Ilazimishwe!. Rais Samia, Futilia Mbali Unyama Huu!
p

Una ujinga mwingi wewe Paskali,Eti Rais Samia ni mwanamke hawezi kusaini!

Je ni sababu ya jinsia yake au unaona Nini kwenye jinsia kaka.
 
Naunga mkono hoja,hii adhabu ya kifo kwa mtu kunyongwa mpaka afe,ni moja ya adhabu za the colonial legacy ambazo ni very barbaric,ndio maana Nyerere alisaini death warrant 2,Mwinyi akasaini kadhaa,Mkapa,JK na JPM hawakusaini hata moja!,Rais Samia ni mwanamke,hawezi kusaini!,its high time adhabu hii ifutwe!,na hata ikilazimika kubaki,sio kuua kwa kunyonga,tunaweza kuua kwa lether injection,au kwa electric chair,mtu anakufa in a civilized manner na sio barbaric!。 Tumsusitize Rais Samia,aupokee ushauri huu Leo Tanzania Yaamriwa Kuifuta Adhabu ya Kifo kwa Kunyongwa Mpaka Kufa!. Ni Aibu Tanzania Mpaka Ilazimishwe!. Rais Samia, Futilia Mbali Unyama Huu!
p
Kwa ujumla wake tu adhabu ya kifo haifai,nia ya adhabu ni kumrekebisha mkosaji na pia kumfanya ajutie kosa lake, lakini akihukumiwa kifo hatajinza kitu wala hatajutia makosa yake sana sana wewe unayemhumu nawe umetenda kosa lile lile la kutoa uhai wa mtu.
 
Naunga mkono hoja,hii adhabu ya kifo kwa mtu kunyongwa mpaka afe,ni moja ya adhabu za the colonial legacy ambazo ni very barbaric,ndio maana Nyerere alisaini death warrant 2,Mwinyi akasaini kadhaa,Mkapa,JK na JPM hawakusaini hata moja!,Rais Samia ni mwanamke,hawezi kusaini!,its high time adhabu hii ifutwe!,na hata ikilazimika kubaki,sio kuua kwa kunyonga,tunaweza kuua kwa lether injection,au kwa electric chair,mtu anakufa in a civilized manner na sio barbaric!。 Tumsusitize Rais Samia,aupokee ushauri huu Leo Tanzania Yaamriwa Kuifuta Adhabu ya Kifo kwa Kunyongwa Mpaka Kufa!. Ni Aibu Tanzania Mpaka Ilazimishwe!. Rais Samia, Futilia Mbali Unyama Huu!
p
Kama yeye aliua kwa bunduki basi napendekeza na yeye afungwe kitambaa cheusi usoni na apigwe risasi hadi afe kama alivyoua
 
Back
Top Bottom