Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Kumbe Soka hajarudi mpk leo??Siku moja na yaliyomwua Kibao, na kuwapoteza akina soka, nayo yatendewe hivyo hivyo. Hayo ni mashetani yasiyostahili kuonewa huruma. Haya yalitakiwa kuuawa hadharani, tena kwa kuyakata kiungo kimoja kimoja, iwe fundisho kwa mashetani yaliyosalia.