Natamani sana kila member humu wa JamiiForums atumie jina na pamoja na picha yake halisi

Ingependeza kabla ya kupandisha mada hapa,ungejitafakari kwanza je ww upo kweny hayo mabadiliko?
Ww mwenyw unatumia feki id fake avatar halafu unawashawishi wengin wabadilike why?
Labda Unajambo lako mfukoni
Hapana mkuu naanda picha hapa niweke maana nilipoteza picha zangu pale simu yangu ilipoibiwa
 
Kuna kipindi Mwigulu Nchemba alikuja na uzi hapa eti aulizwe maswali (ID ilikuwa ni jina lake halisi pia avator ni picha yake) alipewa za uso mpaka akakimbia uziπŸ˜€ watu hawana masihara kabisa
 
Watu wa facebook mshafika huku
 
Kuna kipindi Mwigulu Nchemba alikuja na uzi hapa eti aulizwe maswali (ID ilikuwa ni jina lake halisi pia avator ni picha yake) alipewa za uso mpaka akakimbia uziπŸ˜€ watu hawana masihara kabisa
Hhahaha jf ni hatari kwahiyo watu wakamtimulia vumbii
 
Hautakuwa unafanya ofisi moja na mabwana Kingai, Mahita, Sirro, Lion Chawene au angalau na almaarufu wasiojulikana 😁😁?
 
Hautakuwa unafanya ofisi moja na mabwana Kingai, Mahita, Sirro, Lion Chawene au angalau na almaarufu wasiojulikana 😁😁?
Hhahahaha hapana mkuu fatilia nyuzi zangu utagundua mimi wala sio hao watu
 
Anza wewe. Kenge wewe
 
Hhahahaha hapana mkuu fatilia nyuzi zangu utagundua mimi wala sio hao watu

Mkuu kwenye face value tu 😁😁?

Wengine utawajua leo au kesho tu kweli?Unasemaje hicho kisiki?

Nani angeshuku?

Si vizuri tuendelee hivi hivi?

Kwani yuko wapi Moses Lijenje?
 
Kweli mkuu mfano mimi kuna watu humu nawakubali sana na ningependa hata nikutane nao mkuu
Ahahaaa kumbe, je na mm ni miongoni mwao? Mm nataman nikuone.
kule mwanza,bukoba na Musoma, wanapenda kuweka "po" kwenye neno. so na mm natamanipo nikuonepo, nikujuwepo!!!!!
 
Umewahi kusikia jina Ben Saanane? Mimi naamini angekuwa bado yuko hai kama asingetumia jina lake la kweli. Akili mumkichwa Mkuu. Maisha ni matamu sana. πŸ’ƒπŸ½πŸ•ΊπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ•ΊπŸ½

Hahaha hapana mkuu lakini nataka tulete mabadiliko
 
JF itapoteza ladha kwa kasi sana hebu imagine sometimes kwa I'd fake unabishana na bosi wako au kuna watu wanaleta real life stories kupata ushauri unafikiri kutakua na guts za kuleta stories Kama hizo.
Wenye wale wa I'd fake waendelee na wewe unayetaka utambulisho halisi weka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…