Natamani sana kila member humu wa JamiiForums atumie jina na pamoja na picha yake halisi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sisi watu wa JF huwa hatupendi kujuana, kujuana ni chanzo cha umbea kama kwa mama Kimbo Buza, huwezi jitoe JF nenda fb huko mademu kibao.
 
acha watu wajiachie bnaa, humu ukisema kila mtu aweke wazi uhusika wake, tutakimbiana humu kama sio kuliliana, kuna wengine wanadharaulika sabbu ya ID zao,

wengine wanaheshima zisizo wastahiki maana wamefake maisha yale tunayowajua jinsi wanavyojiproud humu,

kuna wengine tunawachukulia powa kumbe sivyo walivyo, na kuna wale, wanajikuta wana heshima ktk jamii zao, lkn behind the scene ni wapuuzi na upuuzi wao wanakuja kuufanyia humu kupitia fake ID na bado tunainjoy kwa upuuzi wao(just think about rickboy mzee wa kula tunda kimasihara, na yule zero IQ muuza chips wa Dodoma[emoji23])

na kuna ile mizee age imeenda kinoma lkn haitak kukubali ukweli, ipo inafake umri ili ionekane vijana humu kwa kufake ID na kuleta thread za utoto but tunainjoy acha wajifiche tu

na kuna akina sie tusio penda makuu na mtu yeyote, umri fulani iviii, na uhandsome wa maana, na hatujiproud kwa lolote bt mtu ukituona uhalisia utoamini[emoji23][emoji23]

acha watu wafake wawezavyo as long as hawavunji sheria,,

jf the biggest site where we dare to talk openly & freely
 
Hahaha nimekuelewa sana mkuu umetema bonge la point huyo ZERO IQ na RIKI BOY wanachangamsha sana jf hahaa
 
Hahahahaha ni wazo zuri mkuu, lakini kutokana na aina ya JF ni ngumu sana kutumia majina halisi ili kuepuka risk mbalimbali, japo wapo wachache wanaotumia majina na picha halisi.
 
Hahahahaha ni wazo zuri mkuu, lakini kutokana na aina ya JF ni ngumu sana kutumia majina halisi ili kuepuka risk mbalimbali, japo wapo wachache wanaotumia majina na picha halisi.
Yeap mkuu pia naona watu wakitumia ID's zao og jf itadoda watu watakua wapole
 
jamii forum ni jukwaa huru pekee la kujiachia na kutema nyongo zote na yote ya moyoni, kuuliza lolote kwa uhuru, kutaka kujua na kujifunza lolote lile comfortable kabisa, na kutaka ushauri wa mambo yako yoyote yale bila ya ulazimu wa mtu/watu wakujue wewe ni nani na mipango yako ni ipi.
 
Sawa mkuu lakini mbona wakongwe wanalalamika wanachukuliwa poa na kudharaulika na vijana wa sasa humu ?
 
Sawa mkuu lakini mbona wakongwe wanalalamika wanachukuliwa poa na kudharaulika na vijana wa sasa humu ?
hao wanacomplicate maisha wao wenyewe, hawajui ni nini maana ya jamii forum. Siku wakijua hata wao watainjoy sana jamii forum, kama sisi tunavoinjoy hii jamii forum.
 
hao wanacomplicate maisha wao wenyewe, hawajui ni nini maana ya jamii forum. Siku wakijua hata wao watainjoy sana jamii forum, kama sisi tunavoinjoy hii jamii forum.
Basi sawa mkuu ngoja tupambane tu
 
Toa ushauri kwa Menejiment ya Jamii forum inayoongozwa na Max, kuanzisha part of JF ambayo members wake watakuwa verified tu, afu uone wangapi watajitokeza.

Mkuu huu mtindo wa kutojulikana unasaidia sana, na hasa katika issue za kufichua maovu yanayofanyika serikalini.
 
Kwa upande huo wa mambo ya serikali sawa mkuu sikatai basi watu waendelee na ID's zao fake tu
 
Kwa kweli nami naunga mkono hasa #3.
Huwa nawatamani sana baadhi ya kina mama humu jukwaani kutokana na comments zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…