acha watu wajiachie bnaa, humu ukisema kila mtu aweke wazi uhusika wake, tutakimbiana humu kama sio kuliliana, kuna wengine wanadharaulika sabbu ya ID zao,
wengine wanaheshima zisizo wastahiki maana wamefake maisha yale tunayowajua jinsi wanavyojiproud humu,
kuna wengine tunawachukulia powa kumbe sivyo walivyo, na kuna wale, wanajikuta wana heshima ktk jamii zao, lkn behind the scene ni wapuuzi na upuuzi wao wanakuja kuufanyia humu kupitia fake ID na bado tunainjoy kwa upuuzi wao(just think about rickboy mzee wa kula tunda kimasihara, na yule zero IQ muuza chips wa Dodoma[emoji23])
na kuna ile mizee age imeenda kinoma lkn haitak kukubali ukweli, ipo inafake umri ili ionekane vijana humu kwa kufake ID na kuleta thread za utoto but tunainjoy acha wajifiche tu
na kuna akina sie tusio penda makuu na mtu yeyote, umri fulani iviii, na uhandsome wa maana, na hatujiproud kwa lolote bt mtu ukituona uhalisia utoamini[emoji23][emoji23]
acha watu wafake wawezavyo as long as hawavunji sheria,,
jf the biggest site where we dare to talk openly & freely