Natamani sana kila member humu wa JamiiForums atumie jina na pamoja na picha yake halisi

Natamani sana kila member humu wa JamiiForums atumie jina na pamoja na picha yake halisi

Mkuu kwenye face value tu 😁😁?

Wengine utawajua leo au kesho tu kweli?Unasemaje hicho kisiki?

View attachment 1978751

Nani angeshuku?

Si vizuri tuendelee hivi hivi?

Kwani yuko wapi Moses Lijenje?
Sawa mkuu ila mbna wapo watu wanatumia taarifa zao og
 
JF itapoteza ladha kwa kasi sana hebu imagine sometimes kwa I'd fake unabishana na bosi wako au kuna watu wanaleta real life stories kupata ushauri unafikiri kutakua na guts za kuleta stories Kama hizo.
Wenye wale wa I'd fake waendelee na wewe unayetaka utambulisho halisi weka
Yeap mkuu haya ndio niliokua nayasema yani katoto kadogo kanabisha na mkongwe humu
 
Umewahi kusikia jina Ben Saanane? Mimi naamini angekuwa bado yuko hai kama asingetumia jina lake la kweli. Akili mumkichwa Mkuu. Maisha ni matamu sana. 💃🏽🕺🏽💃🏽🕺🏽
Kwahiyo bora tutumie ID fake tu mkuu
 
Ahahaaa kumbe, je na mm ni miongoni mwao? Mm nataman nikuone.
kule mwanza,bukoba na Musoma, wanapenda kuweka "po" kwenye neno. so na mm natamanipo nikuonepo, nikujuwepo!!!!!
Hhahah sio mbaya kujuana tuweke picha zetu og sasa kwenye Id
 
Mkuu ladha ya utumbo mavi🤤 yaani hayo mambo ndio inafanya JF inakua home of great thinkers, where we dare to talk openly
Kwahiyo bora tuendelee hivi hivi mkuu ?
 
Tukifahamiana kwa sura na majina tutakosa mambo mengi ya maana.
 
Sawa mkuu ila mbna wapo watu wanatumia taarifa zao og

Sasa mkuu waimba mapambio, au kina Sirro, Kingai, na ile timu yenyewe ambayo sasa inajulikana siyo ndiyo mapromoter wa huo u og?

Tusaidiane mkuu:

IMG_20211015_144814_546.jpg
 
Back
Top Bottom