Natamani sana kuagiza hii gari VOLVO XC60

Catty m

Member
Joined
Jul 31, 2022
Posts
6
Reaction score
3
Habari wanafamilia wa km naomba Msaada mwenye kujua kuhusu hii gari nimeipenda mnoo natamani kuagiza Volvo XC60 haswaa upatikanaji wa spares na changamoto zake.

Volvo.jpg
 
And I Quote "Usije kujichanganya ukanunua hii gari au XC90" alisikika akiongea hivyo fundi mmoja mtaalam wa gari za mzungu Toka gereji maarafu dsm
 
Habari wanafamilia wa km naomba Msaada mwenye kujua kuhusu hii gari nimeipenda mnoo natamani kuagiza Volvo XC60 haswaa upatikanaji wa spares na changamoto zake.
TZ ni nchi pekee duniani ambayo mtu ana uwezo wa kuagiza gari nje ya nchi lakini mtu huyohuyo anaogopa kuagiza Spare nje ya Nchi, Ni maajabu kwa kweli🤣🤣🤣
 
Umemaanisha nn mkuu
 
TZ ni nchi pekee duniani ambayo mtu ana uwezo wa kuagiza gari nje ya nchi lakini mtu huyohuyo anaogopa kuagiza Spare nje ya Nchi, Ni maajabu kwa kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nchi ngumu hii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shida kubwa hapa nchini ni garage zetu, ukileta gari jipya ambalo sii common mafundi wetu hujifunzia hapo na kuliharibu kabisa, fundi hakatai gari atakuambia leta tu watalibomoa wanaanza kuhangaika. Ni bara kua na gari zilizozoeleka au kuna dealer wake hapa nchini.
 
Back
Top Bottom