Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu gari tunaagiza mara moja tu sio tatizo je spares tutaagiza mara ngapi?TZ ni nchi pekee duniani ambayo mtu ana uwezo wa kuagiza gari nje ya nchi lakini mtu huyohuyo anaogopa kuagiza Spare nje ya Nchi, Ni maajabu kwa kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyuma imekaa kama chuma mboga,inani-put off hapo tu.
😄😄 Tumewaona wengi wenye lugha kama yako.Kwa hii Dunia ya utandawazi hakuna haja ya kuwaza upatikanaji wa spare. Ni pesa yako tu iwe mfuko wa shati.
Umewaona wapi mkuu?[emoji1][emoji1] Tumewaona wengi wenye lugha kama yako.
😄😄 Sawa kabisa fogo.Umewaona wapi mkuu?
Hakuna spare isiyopatikana ndugu, ni hela yako tu. Masoko yako kibao mtandaona na njia za usafirishaji ni nyingi tu ni kuchagua inayokufaa na muda wako wa uhitaji.
Automatic zilipokua zinaingia hii kauli walikua wanatumia sana wakiamini katika manual gear leo hii kauli wameisahau wanasema parts na mafundi ..mafundi Tanzania wapo ni vile mnakutana na wabahatishaji harafu mnataka kuaminisha jamii...Shida kubwa hapa nchini ni garage zetu, ukileta gari jipya ambalo sii common mafundi wetu hujifunzia hapo na kuliharibu kabisa, fundi hakatai gari atakuambia leta tu watalibomoa wanaanza kuhangaika. Ni bara kua na gari zilizozoeleka au kuna dealer wake hapa nchini.
Bwana Isanga your right partially, the fact is where are those experts? Mafundi wengi wa mtaani ndio hao. Unless kuwe na dealer mwenye experty service. Otherwise uje na gari ambalo ni jipya amabalo sii common na unategemea mafundi wa mtaani expect anything.Automatic zilipokua zinaingia hii kauli walikua wanatumia sana wakiamini katika manual gear leo hii kauli wameisahau wanasema parts na mafundi ..mafundi Tanzania wapo ni vile mnakutana na wabahatishaji harafu mnataka kuaminisha jamii...
Mkuu mimi gari zangu zote ni hizo mnazouliza humu miaka nenda rudi na wanaotengeneza ni hawa hawa mafundi ukipata parts tuu mafundi wetu wapo vizuri sana...kwa Arusha na Daslm wapo mafundi wazuriBwana Isanga your right partially, the fact is where are those experts? Mafundi wengi wa mtaani ndio hao. Unless kuwe na dealer mwenye experty service. Otherwise uje na gari ambalo ni jipya amabalo sii common na unategemea mafundi wa mtaani expect anything.
Oh polee. Sasa ndio nimekuelewa.[emoji1][emoji1] Sawa kabisa fogo.
Kilichokufanya ukaona nimechukulia mambo personal Ni Nini?Oh polee. Sasa ndio nimekuelewa.
Kumbe tatizo Sio maudhui niliyoweka hapa. Ishu ni kuchukulia mambo personal. Kwenye cyber world ukichukulia kila kitu personal mbona Utaisha mapema Kwa sonona na kutanua mishipa ya moyo tu.
Relax ujifunze.
Kushusha tank la mafuta la Jaguar XF ilitumia Sio chini ya 3hrs,na hio Ni kwny best garage hapa Arusha.Sijui wengine wa huko mtaani wangetumia masaa mangapi?Mkuu mimi gari zangu zote ni hizo mnazouliza humu miaka nenda rudi na wanaotengeneza ni hawa hawa mafundi ukipata parts tuu mafundi wetu wapo vizuri sana...kwa Arusha na Daslm wapo mafundi wazuri
Mimi naishi Arusha mafundi wapo wengi sijawahi kusumbuka kutengeneza gari hata liweje labda nipo humo muda mrefu uwe na parts tuu hawashindwi kutengeneza...Fundi anashindwaje kubadili parts yeyote maana kwa mimi gari kwangu linaongea kujua tatizo lake ili uanzie wapi kwa kulitatua...Kushusha tank la mafuta la Jaguar XF ilitumia Sio chini ya 3hrs,na hio Ni kwny best garage hapa Arusha.Sijui wengine wa huko mtaani wangetumia masaa mangapi?
Labour charges tu ya kushushia tank sio mchezo.
😄😄 Kwahio unadhani kwny XF tank lilishushwa tu bila fault codes kusoma sio?Mimi naishi Arusha mafundi wapo wengi sijawahi kusumbuka kutengeneza gari hata liweje labda nipo humo muda mrefu uwe na parts tuu hawashindwi kutengeneza...Fundi anashindwaje kubadili parts yeyote maana kwa mimi gari kwangu linaongea kujua tatizo lake ili uanzie wapi kwa kulitatua...
Inawezekana pia mkuu mafundi wana mambo mengi ili ulipe anavyotaka...😄😄 Kwahio unadhani kwny XF tank lilishushwa tu bila fault codes kusoma sio?
Tatizo lako umekariri, Nani kakwambia Spare parts ukiagiza unasubiri Wiki 3 dunia ya leo? Jaribu kubadilisha mindset yako. Kingine, gari lamo linapoharibika siyo kitu kibaya pia hata ukipark kwa wiki moja wakati unasubiria matengenezo, kulazimisha kutembea na gari kila siku ni ushamba.Mkuu gari tunaagiza mara moja tu sio tatizo je spares tutaagiza mara ngapi?
Maana yake hata kaspea kadogo tu hata fuel gauge kakifa uagize nje kisha usubirie wiki 3 huoni usumbufu hapo