Daniel Aloyce Daniel
Member
- Jun 15, 2019
- 83
- 106
🥺🥺🥺🥺🥺Tigo
Ossie nzeze!Tigo
Nimetumia huo mfano wa wachaga, kwamba ni kweli kuna muda kabila hali changii sana kwenye tabia ya mtu, ila kwa kuwa watu wengi sio wasafiri, wachache ndio wasafiri, wanapokaa pana influence sana tabia zao. Mfano tabia ya wachaga kutafuta pesa, ni kama mila kwao. Watu wengi utakapowaambia "mchaga", cha kwanza kitakachokuja kwenye akili yao ni pesa, wanajua dhahiri wanasifika kwa kujua kutega pesa, mimi si mchaga, ila nimetolea kama mfanoSwali lako halijakaa sawa wachaga kwenda December makwao na unataka asili ya wadada wa kisambaa au kabila la wasambaa?
Kama ni tabia Kila mtu anatabia zake binafsi sio asili hiyo ni mtu binafsi usije chafua kabila la watu kisa msichana mmoja wa kisambaa
🤔🤔 una maana gani?Tigo
Kama wewe si mchaga basi ni mrangi. Wasambaa ulioeleza hapa sijui kama wapo. Wanafuata mila sana. Wanaheshimu mipaka na ni wachapakazi hakuna tena hawana makuu wala kuendekeza ndugu kama wachaga. Ingekuwa kondoa au moshi ungehesabu mia nne wakiwamo mama zao hata shangazi zao na bibi zao kama wewe ni wa hovyo hivyo.Ni malaya vibaya mno unaweza kula dada, mdogo mtu, na mama yao mradi tu uwe unawapa vi ofa vya sembe kilo na dagaa mchele wa buku mbili kwishaaaaa
Chwitiati ake hujawahi fumua nshambaa umpe mwongozo mtoa mada???!!
Mdada wa kisambaa ukimuoa ili ndoa iwe na amani hakikisha tu hukosi kadebe ka nyanya chungu ndani, wavumilivu sana hata ukimwachia elfu 2 anabajeti chakula cha siku nzima mchana na usiku sheikh🤣🤣🤣🤣Najua kuwa kabila halina mchango sana kwenye masuala ya ndoa, lakini kutokana na kuwa watanzania wengi sio watembeaji sana na wanapenda kufuata mila zao, mfano wachaga, kila mwezi wa 12 hawaachi tamaduni zao, hupenda kwenda kwao na kukutana.
Natamani nione watu wanazungumziaje wadada wa kisambaa(lushoto), wairaqw (karatu), wamasai (ngorongoro). No matusi please, kuna research kidogo nataka nifanye.
Nimetomber wasambaa kama 40 hivi kwa kipindk cha miezi 4 niliyoishi Tanga.Kama wewe si mchaga basi ni mrangi. Wasambaa ulioeleza hapa sijui kama wapo. Wanafuata mila sana. Wanaheshimu mipaka na ni wachapakazi hakuna tena hawana makuu wala kuendekeza ndugu kama wachaga.
Upo mzeee??