Avith almachius
Senior Member
- Aug 20, 2022
- 168
- 175
VIJANA wenzangu Kuna mambo yanaendelea na yametokea na yanavunja moyo Sana Tena Sana katika nchi yetu Kama isemavyo Vijana ni TAIFA la kesho Nataman Sana niwe miongoni watakaoibadilisha kwa kulipigania In any means.
Ila nashindwa kwasababu Sina mtu atakaekuja na kusimulia baba alifanya ichi na ichi au Baba alilipambania ili TAIFA nimetoka katika familiar ya kimaskini Nina watu wengi wananitegemea Kama KIONGOZI WA familia Nina ndoto ambazo zinanihitaji.
Mimi Sina kazi ya kuaminika nimemaliza chuo 2023 Sina mtoto Sina mke Sina baba wala mama na Leo nikafe katika Protest nakubaliana na nyie katika kudai justice katika kudai haki lazima Damu imwagike siwashauri kumaliza mlichokianzisha but sitalaumu kitakachoenda kutokea na Bado I will be watching till the end.
Naelewa tunatofautiana ulewa na malengo but sidhan Kama Kuna mtu alishapanga kufa Kama zile maiti tulizozishuhudia sijui na sitaki kuingilia hili hatuezi kulipambania TAIFA ili wote but Tahadhari iwe kubwa kwa kila kitu. Asante