National Antique
Member
- Jul 25, 2022
- 11
- 21
Natamani sana mabibi na mabwana shamba tuanzishe chama chetu. Ukiangalia wafanyakazi wenzetu kwenye wizara zingine wana vyama vyao vyenye nguvu kuwatetea katika mambo mbalimbali ya maslahi yao!
Sisi tumelala Sana hatuna hata wa kutusemea na badala yake tumegawanyika wengine wanajiona Bora kuliko wengine wakati wote ni wamoja. Mfano watu wa utafiti, ma agri officers, maafisa mifugo na wakufunzi kilimo Kila mtu anajifanyia yake hakuna umoja wakati wote tupo mwamvuli mmoja Wizara ya kilimo na Mifugo (Japo watu wa Mifugo na uvuvi Kama hawasikiki kwenye Kilimo lakini tunategemeana Sana).
Ifike wakati tushikamane tuwe kitu kimoja na kuacha ubaguzi katika kutetea na kuboreshewa maslahi Kama kuongezewa mishahara na kuondoa gepu kubwa lililopo baina yet kisa tu huyu kaenda kuwa Bw au Bibi shamba na huyu kaenda kuwa Mkufunzi au Mtafiti basi maslahi yawe tofauti Sana wakati tumesoma darasa Moja na fani Moja.
Tujitambue Sisi tuna mchango mkubwa katika taifa hili tusibaguane Bali tubebane na kuteteana!