Security Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 299
- 388
Mkuu umepoteaNaungana na wewe kabisa mkuu kwa 100%, yaani umeongea kitu ambacho siku zote huwa nnakisema kwa watu.
Tena umeniwahi tu mimi mwenyewe nilikuwa najiandaa kuleta uzi kama huu wako.
Ndoa za kiislamu ni ndoa bora kabisa na wanawake wa kiislamu ni wanawake bora kabisa kwa ndoa.
Btw, i am Christian by religion.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vema kabisa, tofauti ya ndoa za kisasa za kikristo na zile za kiislamu ni moja tu;
Waislamu wanaruhusu trial and error, wakristo wao hawana hicho kitu. Ukichagua umemaliza, lakini zote zinakwepa msingi wa tatizo, kumpata mtu sahihi.
Ndoa zaa kiislamu kwa kiasi kikubwa zinajibu tamaa ya mwili sio kwa kuleta suluhisho la kudumu, bali kutoa uhuru wa kuoa na kuacha kadri mtu anavyowaka tamaa. Mimi kimsingi huwa sizichukulii kama ndoa bali huwa naziona kama makubaliano maalum kukaa kwa muda kadri mtakavyoona inafaa. Hakuna ndoa ya kweli hapo, nikimtamani mwanamke namwoa namtumia, nikimchoka namtafutia sababu namwacha ama natafuta mwingine tena naongezea. Mwisho wa siku nakuwa na zizi la wanawake ambao nitakiwa naacha na kuoa wengine kadri navyotamani. Ni shida tupu
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Acha uzwazwa hebu haahhaahahahDu hiki ni "kifungo cha nje". Yaani hata mtu usichepuko hata mkeo akiwa na mimba? Ut@t0mB@ wapi?[emoji32][emoji32][emoji32]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naongea na huyo niliyemtag, umetoka wapi?
Uhuru ni nini? Nionyeshe kwamba una uhuru nami nitakuonyesha kiwa hauko huruHili swali no 1 nila Yakobo kabisa a.k.a Israel.Maana taifa teule na barikiwa limetokana na mama wa 4.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Swali no 2.
Furaha yoyote utokana na uhuru.
Au wewe hata huu msemo "HIYARI YASHINDA UTUMWA" haikufikirishi?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mwanamke huko chini anakuwa mtera au nyumba ya Mungu?Ndio uzuri moja wapo huo sio mtu upendo hamna basi mnaishi tu kama simba na chui’ upendo ukiisha na kutokufikia muafaka basi mnapeana talaka kila mmoja anafanya yake
Hata akiwa na vyuo20 kinachotakiwa ni uhalal tu[emoji1419]
Nina majirani zetu huu ni mwaka wa 15 wanaishi pamoja ila kila mtu na chumba chake’ kila mtu analeta watu wake (wapenzi) Yan wanakomeshana ilihali ni mume na mke kwa ndoa takatifu
Sasa shida yote ya nn??? Ndoa za kiislamu ni nzuri bisha ubishavyo ila ukweli ndo huo
Viapo vya ndoa ya Kikristo unavijua?Nyinyi mnaapa mpaka kifo kitutenganishe sisi hatuna hiyo!!!! Na ndio inawacost
Yes kuachana ni kuzuri
Sasa mf mtu hamuelewani hamna upendo mng’ang’aniane tu kuishi pamoja? Ndio matokeo yake huwa negative
Kama hawa majirani zetu hawana muda na watoto wao , wako busy kukomesha mma akiona baba kaleta vibinti na yy anakamatia vibenten
Sasa kma wote mmeridhiana hamtakani ni heri muachane tu
You're not a Christian.Naungana na wewe kabisa mkuu kwa 100%, yaani umeongea kitu ambacho siku zote huwa nnakisema kwa watu.
Tena umeniwahi tu mimi mwenyewe nilikuwa najiandaa kuleta uzi kama huu wako.
Ndoa za kiislamu ni ndoa bora kabisa na wanawake wa kiislamu ni wanawake bora kabisa kwa ndoa.
Btw, i am Christian by religion.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni inshara ya wazinzi mpenzi wako na akujue mapema kabla ya ndoa.Hii ndiyo point tuongeee yote ila ndoa za kikristo zi ashida sana ......mi ni mkristo ila navutiwa na ndoa za kiisilamu hakuna kuzenguana muda wowote ,
Kama mtu anaweza kukatwa kiungo ili kuopesha usalama wa mwili kwa nini kungangania mpk kufa ?
Kwani umezaliwa naye , ndoa nyingi zipo hoi maigizo ni mengi na ni pasua kichwa
Sent using i phone x
Uko na options T be a Moslem basiMkuu umesema kweli 100/100. Ndoa za kikristo ni NDOANO. Watu tunakufa na tai zetu shingoni ndani ya ndoa. Huwezi kuamini jinsi wanawake wanavyoleta nyodo na ngebe kwa kuwa ndoa zao zina bima ya 'pingu za maisha'. Ushuzi mtupu[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji777]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mzinzi.Dini isiyoruhusu kuachana ni sawa na Jela na utumwa.
Kuna utumwa mwingi sana katika ndoa za kikristo. Mwanamke anataka kutoka hawezi na mwanaume anataka kutoka hawezi vinabaki vituko na amani kutoweka na mara zote ndoa za kikristo zinaleta aibu katika jamii.
Wewe Mkristo jina hata Biblia huijui ndio maana unaandika mashudu ya nguruweNdio maana wenzetu kijana anaoa hata ana miaka 20, 22 wala hana haja ya kumchunguza sana mchumba kwa sababu hana hofu ya kukosea, maana akikosea ana nafasi ya kurekebisa. Huku kwetu kulingana na jinsi dunia inavyokwenda vijana imefika mahali wanaogopa kuingia ndoani kwa sababu anajua akiingia ameingia
Sent using Jamii Forums mobile app
We labda umuombe allah hukoHehehe, kwenye magauni tena loh....hata hivyo unachokisema kingekuwa kinafanyika hivyo ingekuwa raha sana na wala sie wengine tusingekuwa tunatamani Mungu abadilishe sheria zake...yanayofanyika yanatisha ndio maana tuko kwenye maombi Bwana Yesu atengue ile kauli yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Manii yanatoka mgongoni sio?Boss kiukweli ni kwamba uislam ni dini imejitosheleza haina walakini wala kasoro yyt ila kuna conspiracy iliyo enezwa ulimwenguni ya kuonesha kwamba uislam ni dini ya ma terorist ,dini ya unyanyasaji ila kiukweli hamna kitu kama hicho katika uislam ujuwe kwamba hata uislam wenyew unatufunza kuwaheshimu wanawake,,kuwatunza na tusiwanyanyase kwa namna moja ama nyingine,,soo unapoongelea swala nzima la ndoa ndoa sisi kwetu ni ibada na imewekewa misingi itakayo fatwa ili iendeshwe vizuri itakapo vunjwa basi ujuwe kwamba na ndoa pia itavunjwa hamna mambo ya kulazimishana katika dini hutaki kuishi na mwenzio basi !!
Sent using Jamii Forums mobile app
And this was what i was looking.
Yesu Kristo alisema nini kulihusu?Hiyo hukumu ya kupigana mawe ipo kwenye biblia siyo Qur'an. Acha kuzuwa.
Wewe huwa nakudharau sana.Na ni wangapi hapa Tanzania wamepigwa mawe mpaka wakafa??
Unaposema kila mtu anasepa na alichotafuta huu ni uongo. Kama unaona sawa kuongopa basi it's ok no problem
Yesu Kristo alisema nini kulihusu?
Na marehemu wenu na sharia zake alisema nini?
Tafadhali tuoneshe aliyepigwa mawe Oman au Saudi Arabia. Haiwezekani kuwa hizi habari umetoa kichwani mwako tu, tupe ushahidi.Wewe huwa nakudharau sana.
Unajificha kwenye kivuli cha u_neutral kumbe abdool mkubwa mwenye imani kali.
.
Tanzania haiongozwi na (sharia) sheria za kiislamu, nenda Oman au Saudi kule sharia zinapofanya kazi