Natamani sana Ndoa za dini ya Kiislamu " Its the best marriage Ever"

Unaota? Kutaka ushahidi ndiyo povu? niombe wewe ushahidi wa sheria ya kupigana mawe iko wapi nikuwekee.
Tulia sindano ziingie wewe.....ndoa ya kiislamu ndiyo ya uhakika, hizi za kikristo ni magumashi makubwa! Kama huupendi uislamu si uhamie ukristo kwani umelazimishwa?
 
Tulia sindano ziingie wewe.....ndoa ya kiislamu ndiyo ya uhakika, hizi za kikristo ni magumashi makubwa! Kama huupendi uislamu si uhamie ukristo kwani umelazimishwa?
Sindano imewaingia nyinyi, mada ipo wazi kabisa, kwa kukujuza tu, si ndoa pekee kila kitu katika Uislam ni chema na chepesi sana tena.
 
Mkuu umeigusa familia yetu asee, inshort nikwamba kuna huyo mwenzangu na mie kakutana na mwanaume huko bila hata kuchunguzana hatimae Mimba hiyo

Haya harakati za kuwafungisha ndoa zikaanza upande wa mwanaume wakidhani mwenzangu na mimi ni muislam kumbe mkristo pia pia yule jamaa kumbe hana mahali wala kazi hivyo ndg yake akataka kumuolea cjui

Basi walivyojua mwenzangu na mimi mkristo wakapotea mazima wakati walikua washandaa na mashee

Basi hatimae tamko likatoka kwamba tunataka azae ndiyo tumchukue hivi ninavyoandika hapa mwenzangu na mimi alishazaa na toto lenyewe linashaanza hadi kutambaa lakini hakuna direction yoyote ile na jamaa nalo kula kulala

Waislam bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi umejifunza mengi na hauishi kimapokeo.Ningependa uendelee kuongea ukweli wala sio kuzongwa na chuki zisizo msingi.Jifunze mengi ili hata ukipinga au kuunga mkono iwe inatokana na elimu sio maneno ya vijiweni.Apendapo mwenyezi Mungu atakunusuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biblia nzima haijaweka utaratibu wowote juu ya ndoa zaidi ya kuchukuana ama mvulana kupewa msichana.Kama unabisha weka andiko linaloeleza taratibu za ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yakobo a.k.a Israel alifuata imani ipi basi? Maana watoto wake(wana wa Israel) walitokana na mama wanne.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biblia nzima haijaweka utaratibu wowote juu ya ndoa zaidi ya kuchukuana ama mvulana kupewa na wazizi msichana.Kama una bisha weka andiko linaloeleza taratibu za ndoa au kuoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani ipi hiyo?Maana kizazi teule na barikiwa cha Mungu kimetokana na mama wanne na mume mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…