Natamani sana Ndoa za dini ya Kiislamu " Its the best marriage Ever"

Nafikiri kuna watu wengi hawaelewi maana ya kuoa wake wengi humu na Google hawaitendei haki
Kama hujaelewa kitu ni bora kuuliza tu na kuuliza sio ujinga bali ni kuongeza maarifa tu
Google please


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Baadhi ya watu wanachangia hisia zao wakiongozwa na chuki za kidini. Wanajiona wajanja kumbe wajinga, ilimradi chuki zao iko siku zitazaa matunda mazuri na hapo ndipo watakapoujua ubaya wa chuki zao.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 

u must have a serious problem ...Kuandika paragraph nying si kipimo cha maarifa ...pia ndoa ni ya wawili kupendana dini ni muongozo tu sjaona umuhimu wa kuleta utofaut wa dini hapa in short ni uzi wa kutetea dini fulani kwa mgongo wa ndoa

ps : naheshimu dini yoyote cha msingi kila mtu Aamini anachoamini Muhimu Amani ,upendo na kutendeana mema ..Mengine ni ww na Mungu Wako


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tatizo la watanzania, mtu akilala akaamka anakuja na TAFITI. Kisa mkeo kakutenda, basi unawatupia watu wote.

Ushauri, ukiona elimu haifai basi jaribu ujinga!! Ni hayo tu.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Hakuna mahali uislamu unasema mwanaume aoe wake wanne Ni uongo .

Ifadi ya wanawake ambao mwanaume mwislamu aweza oa Ni wengi atakavyo sababu talaka ruksa anachofanya mfano akifikisha wanne aweza wapa talaka wawili akaoa Wengine wewili hapo tayari anakuwa kafikisha sita Lakini ukimtizama anasema ninao wanne.Baadaye aweza hata wapa talaka wote wanne akaoa Wengine wanne Happ tayari anasomeka wanawake kumi kimahesabu.Ndoa za kiislamu Ni utapeli fulani hivi ambamo mwanaume karuhusiwa na kurani kuwa tapeli
 
Hii sheria bado ipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika UONGO MTUPU na inaelekea hujui hata ulichokiandika

Eti katika Ndoa ya Kikristo suala la Mirathi ni Giza totoro

Mara hata Ndoa za wachungaji ni hivyohivyo

KWANZA: Hebu tuambie:

Huo utafiti uliufanya kwa muda gani?

Kwa eneo lipi hasa? SCOPE?

Kwa watu wangapi? Sample Size?

Hao watu wote wapo kwenye Ndoa?


JIBU HAYO.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kuachana achana ndio uzuri?

Hivi wakati wa kufunga hiyo Ndoa wanaapa nini?

Vow?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpe Muongozo mwenzako. Ila muongozo wako niwa story za kwenye gahawa
 
Ligoga limekushika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kuachana achana ndio uzuri?

Hivi wakati wa kufunga hiyo Ndoa wanaapa nini?

Vow?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nyinyi mnaapa mpaka kifo kitutenganishe sisi hatuna hiyo!!!! Na ndio inawacost

Yes kuachana ni kuzuri

Sasa mf mtu hamuelewani hamna upendo mng’ang’aniane tu kuishi pamoja? Ndio matokeo yake huwa negative

Kama hawa majirani zetu hawana muda na watoto wao , wako busy kukomesha mma akiona baba kaleta vibinti na yy anakamatia vibenten

Sasa kma wote mmeridhiana hamtakani ni heri muachane tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…