Natamani sana zali la utekaji linipate itakuwa fundisho

Big laiti angekua na kisu ilikua inatosha kumwaga mtu utumbo

Huu mchezo ata Mimi naombea unipate
Wale inasemekana ni polisi na kuna uwezekano mkubwa walikuwa na cha moto pale, kama unavyosema big angefanya kitu kama angekuwa na kisu basi ingeweza kupelekea wao kutumia cha moto na madhara kuwa makubwa zaidi ikiwemo hata kifo. Halafu ingesaidia nini?
Wangapi wamekufa na bado mambo yanaendelea vilevile?

Hii nchi imekuwa ngumu sana, na mam yupo bize anakula misele huku ughaibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…