Natamani sana zali la utekaji linipate itakuwa fundisho

Natamani sana zali la utekaji linipate itakuwa fundisho

Kwanza nikuulize swali ndugu mtoa mada.....

Ulishawahi kukabiliana na bunduki au mguu wa kulu ukielekezewa kwako.... huku aliyeshika kidole kaweka kwenye trigger........?
1002319002.jpg
 
Kila siku naomba na kutamani zali la kutekwa na wasiojulikuna linipate.

Yani huo mkono ntakavyoutembeza usipime ngumi za uhakika na helicopter kicks za kutosha.

Na kwaanzia hapo itakuwa fundisho na utekaji utakoma.

View attachment 3151179

little master Fake P Chaliifrancisco

Nyau de adriz
Mi wenyewe nimefunga novena ili hao watekaji waje kwangu hata kama wana kikosi kipana, nitawawashia mota kama watajiuliza iwapo wamepanuka mbele, nyuma, au pembeni.
 
Mkorea mwanetu wa The Gunners wazee wa phase 4,,, oya hao jamaa wanakuwa na vimiguu vya kuku,, inabidi uwawahi umpige kata funua akose hata nguvu ya kumeza mate.
Kabisa ila hautaki kuwa mudu wote, ww unacheza na mmoja au wawil wa mwanzo tu

Unamchana na kisu, sio kumchoma. Tena unalenga tumboni
 
Kwa Hilo tukio la kiluvya natamani ni ngekuwepo haijalishi hao ni polisi au majambazi ningehakikisha hicho kigari nakichoma moto na wao nahakimisha mmoja wapo namvunja mguu ili kuwafahamu zaidi wanapokaa,wanapofanya kazi na waliowatuma.
 
Tunazingatia na aina ya mtu,usifikiri bahati aliyopata Deo bonge na wewe itakua hivyo hivyo, nitakuja mimi muuza madafu wa ferry utaniweza.
na unaishi vijibweni sio kwamba hatukufahamu rahasha....Tabia yako yakukuta watu wamekaa sehemu unaanza kutuliza kwanjia ya macho kama sisi wamagogoni wezako ukome
 
Mimi pia natamani maana Niko hapa nimefuzu mikanda yote ila napendelea kuvaa black na red kwa pamoja napiga ashiruuu moja tu ya taya nimeua hiyo siku jiji litasimama kwa saa likinicheki ninavyogawa kichapo wastani kwa idadi..
 
Mimi pia natamani maana Niko hapa nimefuzu mikanda yote ila napendelea kuvaa black na red kwa pamoja napiga ashiruuu moja tu ya taya nimeua hiyo siku jiji litasimama kwa saa likinicheki ninavyogawa kichapo wastani kwa idadi..
Umecheza mchezo gani kwa hizo belt
 
Back
Top Bottom