ukawa dona
JF-Expert Member
- Feb 8, 2023
- 516
- 887
Tujifunze kutembea na kisu Cha msumeno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipimo Cha ubonge Nyanya wako ni ni mita za ubonge ngapi kwanza?🤣 Watekaji wanacheza IkidoKila siku naomba na kutamani zali la kutekwa na wasiojulikuna linipate.
Yani huo mkono ntakavyoutembeza usipime ngumi za uhakika na helicopter kicks za kutosha.
Na kwaanzia hapo itakuwa fundisho na utekaji utakoma.
View attachment 3151179
little master Fake P Chaliifrancisco
Nyau de adriz
Huku wakipanua wigo mpanaKipimo Cha ubonge Nyanya wako ni ni mita za ubonge ngapi kwanza?🤣 Watekaji wanacheza Ikido
Acha ujinga weweKila siku naomba na kutamani zali la kutekwa na wasiojulikuna linipate.
Yani huo mkono ntakavyoutembeza usipime ngumi za uhakika na helicopter kicks za kutosha.
Na kwaanzia hapo itakuwa fundisho na utekaji utakoma.
View attachment 3151179
little master Fake P Chaliifrancisco
Nyau de adriz
Nafurahi kuona watanzania baadhi waanajua sanaaa ya mapigano,mamaehh..ila hao waduwanzi hua wanaamgalia na mitaa ya kwenda kuna mitaa huwez fanya huo ushenzi kabisa mtaishia kua majivu na kigari chenu cha kipumbavu, kwa mtaa ule naona tu ulikua wa kiduwanzi..hima hima wabongo tujue sanaa ya mapigano tena mapigo yale ya kuua ndani ya sekunde kumi..au tuwe tunatembea na silaha hata kisu, cha kivita kile pia hizo unafundishwa namna bora zaid ya kutumia, kun sehem ukigusa basi utumbo na maini na vilivyomo vinamwagikaMimi pia natamani maana Niko hapa nimefuzu mikanda yote ila napendelea kuvaa black na red kwa pamoja napiga ashiruuu moja tu ya taya nimeua hiyo siku jiji litasimama kwa saa likinicheki ninavyogawa kichapo wastani kwa idadi..
Inaelekea uko kamili mkuu..hongera..Shotokan, TKD Karate a.k.a taekwondo, Shintaido, Shorin-Ryu... Hizo nimefuzu
Kung fu, karate n.k., haitaki hivyo..haifai kuutafuta ugomvi..ugomvi ndio.ukutafute na ukikutafuta basi toa hata roho ya mtu mamaeh.Tukana viongozi wote kwa mpigo, usiache hata chembe, tukana ote isipokua kj na mbepo maana hawa walifanya kazi kwa ajiri ya Tanzania na kazi zao zinaonekana daima...baada ya hapo washable simu subiri matokeo
Hakuna shidaShida nini tena mama?
Namtisha tu kidogo nikifika nampiga vibao vya makalio huku nikimwambia " usirudie tena " namuacha. 😅
Vismart hahahahUsiombe wanaweza kukuvizia ndio umetoka kupiga vismart kama Saba hivi unayumba tu
Seriously madamWatu mna mikwara
Unaijua mbinu ya KITOFA! Unazimwa moja ya kichwa na kareti zako chali.Tunazingatia na aina ya mtu,usifikiri bahati aliyopata Deo bonge na wewe itakua hivyo hivyo, nitakuja mimi muuza madafu wa ferry utaniweza.
Njoo nikuteke mastaKila siku naomba na kutamani zali la kutekwa na wasiojulikuna linipate.
Yani huo mkono ntakavyoutembeza usipime ngumi za uhakika na helicopter kicks za kutosha.
Na kwaanzia hapo itakuwa fundisho na utekaji utakoma.
View attachment 3151179
little master Fake P Chaliifrancisco
Nyau de adriz
Wabongo wamewekeza kuangalia mipira na kubeti.Nchi hii ina watu wazembe matumbo makubwa nguvu hawana. Ikifika saa 11 jioni 3/4 ya vijana wapo hoi kwa mihadarati, pombe nk. Wahuni wakitaka kutuvamia waje jioni saaa 12 kushne nchi inaenda. Zamani shuleni kupigana ilikuwa ni moja ya hatua za ukuaji. Lazima upigane kabla hujamaliza drs la 7 labda ukubali kuonewa maisha yote ya shule.Nafurahi kuona watanzania baadhi waanajua sanaaa ya mapigano,mamaehh..ila hao waduwanzi hua wanaamgalia na mitaa ya kwenda kuna mitaa huwez fanya huo ushenzi kabisa mtaishia kua majivu na kigari chenu cha kipumbavu, kwa mtaa ule naona tu ulikua wa kiduwanzi..hima hima wabongo tujue sanaa ya mapigano tena mapigo yale ya kuua ndani ya sekunde kumi..au tuwe tunatembea na silaha hata kisu, cha kivita kile pia hizo unafundishwa namna bora zaid ya kutumia, kun sehem ukigusa basi utumbo na maini na vilivyomo vinamwagika
Nakutakia mafanikio mema.Unaijua mbinu ya KITOFA! Unazimwa moja ya kichwa na kareti zako chali.
Kareti, kungfu hamna kitu. Mfuatilie Israel Adesanya kabla hajawa maarufu.Alienda China na Thailand nk. Kule alikuwa anawachapa wachina mpaka poo. Imagine wachina wamefundishwa hayo madude tangu wachanga.Nakutakia mafanikio mema.