Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oyaa hakikisha unavichambisha vizuri hivyo vibibi, kibarua kisiote nyasi.Oyaa shemeji amekuruhusu urudi jamvin na kuweka tena hii avatar picha yako
MbusiiiKila siku naomba na kutamani zali la kutekwa na wasiojulikuna linipate.
Yani huo mkono ntakavyoutembeza usipime ngumi za uhakika na helicopter kicks za kutosha.
Na kwaanzia hapo itakuwa fundisho na utekaji utakoma.
View attachment 3151179
little master Fake P Chaliifrancisco
Nyau de adriz
UumbwaaaMbusiii
Mkaldinyo hujamboUumbwaaa
Goju ryu ni kweli ni kati ya style nzuri pia ya karate umo ndani ndiyo kuna sanchin na Tensho ni moja ya style ambayo inazingatia sana breathing ila kama umeicheza KYOKUSHIN ni zaidi ya hiyo huo mzigo kwanzia kata, bunkai hadi sparring mwili lazima uwe timamu hasa.Mimi bwana naipenda gujorou na Jeet Kwan do
And so they will be tazzed on their butsKila siku naomba na kutamani zali la kutekwa na wasiojulikuna linipate.
Yani huo mkono ntakavyoutembeza usipime ngumi za uhakika na helicopter kicks za kutosha.
Na kwaanzia hapo itakuwa fundisho na utekaji utakoma.
View attachment 3151179
little master Fake P Chaliifrancisco
Nyau de adriz
In case you don't know mi ndo Simba road so usipende na usifurahie sana kunilinganisha na hao panya,Mnajuaga kuandika kwenye mitandao tu. Wakija watoto wadogo panya road wanne tu, mnajikojolea. 😀😀😀
Hahaha! Lisu anaweza kutekwa na mke wake + watoto wake wa kike tena wa shule ya msingi.Lissu huwa anasema Talk is cheap
Unategemea mbio?.Kila siku naomba na kutamani zali la kutekwa na wasiojulikuna linipate.
Yani huo mkono ntakavyoutembeza usipime ngumi za uhakika na helicopter kicks za kutosha.
Na kwaanzia hapo itakuwa fundisho na utekaji utakoma.
View attachment 3151179
little master Fake P Chaliifrancisco
Nyau de adriz
Watu mna mikwaraBig laiti angekua na kisu ilikua inatosha kumwaga mtu utumbo
Huu mchezo ata Mimi naombea unipate
Mkuu upo kwenye ndoto ebu fanya kuamka! 🙃Kila siku naomba na kutamani zali la kutekwa na wasiojulikuna linipate.
Yani huo mkono ntakavyoutembeza usipime ngumi za uhakika na helicopter kicks za kutosha.
Na kwaanzia hapo itakuwa fundisho na utekaji utakoma.
View attachment 3151179
little master Fake P Chaliifrancisco
Nyau de adriz
Ukitaka kutekwa,fanya Yale Mambo ya kuipinga serikali,funua uovu na uchafu wa watawala,kuwa tishio kwa serikali,mapema tuu asubuhi utatekwaKila siku naomba na kutamani zali la kutekwa na wasiojulikuna linipate.
Yani huo mkono ntakavyoutembeza usipime ngumi za uhakika na helicopter kicks za kutosha.
Na kwaanzia hapo itakuwa fundisho na utekaji utakoma.
View attachment 3151179
little master Fake P Chaliifrancisco
Nyau de adriz
Hahahahha,wanamteka wanaemjua kila kitu mpk silaha anayomiliki,uwezo wake wa self defence hata km mchawi wanakujua mapema,mlevi,Malaysia,nk.Usiombe wanaweza kukuvizia ndio umetoka kupiga vismart kama Saba hivi unayumba tu
We unamuamini semenya.Rekodi zako zikoje tangu upate huo mkanda mweusi?
Isijekua unatandikwa kila siku hadi na walevi.