Natamani sana zali la utekaji linipate itakuwa fundisho

Natamani sana zali la utekaji linipate itakuwa fundisho

Wale inasemekana ni polisi na kuna uwezekano mkubwa walikuwa na cha moto pale, kama unavyosema big angefanya kitu kama angekuwa na kisu basi ingeweza kupelekea wao kutumia cha moto na madhara kuwa makubwa zaidi ikiwemo hata kifo. Halafu ingesaidia nini?
Wangapi wamekufa na bado mambo yanaendelea vilevile?

Hii nchi imekuwa ngumu sana, na mam yupo bize anakula misele huku ughaibuni
Nchi imekua ya wamsujuduo sa100 tu.sisi wengine kazi tunayo
 
Kila siku naomba na kutamani zali la kutekwa na wasiojulikuna linipate.

Yani huo mkono ntakavyoutembeza usipime ngumi za uhakika na helicopter kicks za kutosha.

Na kwaanzia hapo itakuwa fundisho na utekaji utakoma.

View attachment 3151179

little master Fake P Chaliifrancisco

Nyau de adriz
Tukana viongozi wote kwa mpigo, usiache hata chembe, tukana ote isipokua kj na mbepo maana hawa walifanya kazi kwa ajiri ya Tanzania na kazi zao zinaonekana daima...baada ya hapo washable simu subiri matokeo
 
Wale inasemekana ni polisi na kuna uwezekano mkubwa walikuwa na cha moto pale, kama unavyosema big angefanya kitu kama angekuwa na kisu basi ingeweza kupelekea wao kutumia cha moto na madhara kuwa makubwa zaidi ikiwemo hata kifo. Halafu ingesaidia nini?
Wangapi wamekufa na bado mambo yanaendelea vilevile?

Hii nchi imekuwa ngumu sana, na mam yupo bize anakula misele huku ughaibuni
Heri ufanye yako uachane na mambo ya serikali ,tatizo kila mtanzania anajikuta mwanasiasa na mwanaharakati
 
Nimebaki na alama ya ulizo kibao kwa fikra zangu
Shida nini tena mama?
Namtisha tu kidogo nikifika nampiga vibao vya makalio huku nikimwambia " usirudie tena " namuacha. 😅
 
Back
Top Bottom