Natamani shuleni tungekuwa tunafundishwa teknolojia ya nguvu za giza na kiroho

Mfano mtu kasoma halafu mtaani watu wenye husuda wana mfunga asifanikiwe.Msomi hajui chochote masikini .Anaanza kuteseka .Nyota yake inatumiwa.
Moja huwezi kudhurika na kitu ambacho hukiamini, ukishaamini haya mambo na kujihusisha yatakusumbua hata kama hayapo ndio maana kama taifa tunazidi kudumaa sababu ya kuamini ushirikina au tumerogwa badala ya kutafuta suluhisho la matatizo yetu (unaumwa badala ya kumeza dawa unaanza kutumia pesa zako kwa waganga ili ugombane na shangazi yako badala hizo pesa ungeozea kwenye lishe)
Hiyo elimu na cheti vitakuwa na faida gani?
Tuache shule kama shule tufundishane mambo ambayo ni facts (yamekuwa proven) hayo mengine kama mtu ataona hayatoshi au kama elimu yake haijamsaidia ki fikra basi ana kila haki ya kwenda kuyatafuta anapojua...

By the way hao wezi wa nyota unaona vipi ukiwaambia badala ya kuiba nyota za watu waibe zilizopo angani ili wamsaidie kila mtu ?
 
Uchawi haupo, sitochoka kuwaambia.

Mauza uza unayoona kwenye maisha yako ni njia fupi ambazo ubongo wako hutumia kuchakata mambo yasiyo rahisi kuelewa(cognitive biases)

Ubongo wako una kazi kubwa mno, hauwezi fanya kila kitu kikamilifu.
Huna unalolijua, Dunia iko zaidi ya uijuavyo.
 
Hospitali wanasemaje??
Hospital wanadai pepopunda huku nesi wengine wakadai navuta bhangi.

Wakanichoma sindano ,almanusura usiku nice. Sindano ile iliniletea pepopunda kweli.
Nashukuru pharmas ilinilkoa.
 
Kamtafute babu na bibi yako na wanaukoo ama kabila yenu wakupe shule
 
Hata mimi mwenyewe nilikuwa siamini mambo ya ushirikiano.Niliyadharau na kutukuza science na elimu ya darasani.

Ila Leo hii naamini uchawi upo!
 
Hata mimi mwenyewe nilikuwa siamini mambo ya ushirikiano.Niliyadharau na kutukuza science na elimu ya darasani.

Ila Leo hii naamini uchawi upo
 
Hata mimi mwenyewe nilikuwa siamini mambo ya ushirikiano.Niliyadharau na kutukuza science na elimu ya darasani.

Ila Leo hii naamini uchawi upo!
Utakuumiza (Mind over matter) hata kama haupo ukishauamini unaweza hata kukuua (unakuwa hujiamini na kukosa confidence) in short wewe ndio unajiroga, na watu kama wewe ni hatarishi kwa jamii huchelewi kugombanisha watu kwa kuwaita wachawi
 
Kwahiyo mkuu ulitaka shuleni tufundishwe huu uchawi wa kiafrika?
 
Kuna sehhem nimeishia lakin naomba uje mheshimiwa sana Mshana Jr lete mwongozo.

Kuna wale watu wa quran naomba mniambie huyu bwana angesomewa aya zipi Angepona na ulinzi juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…