Natamani shuleni tungekuwa tunafundishwa teknolojia ya nguvu za giza na kiroho

Toa mawasiliano
 
Kwahiyo ukifaulu darasani ni tiketi ya kutoumwa? Ulitaka aumwe nani?
 
Mkuu kwanini kwenye uzi wako umemtaja sana huyo class mate wako, anahusika vipi na wewe kuumwa??
Ndie unaamini anakuroga??
Hakika bruh huyu jamaa anajua mambo yangu. Nasikia hata anasafiria nyota yangu.
Na huwa hapendi mafanikio yangu.
 
Kwahiyo ukifaulu darasani ni tiketi ya kutoumwa? Ulitaka aumwe nani?
Hapana sijasema hivyo. Nazungumzia vijicho husda na washirikina wanao haribu maisha ya wasomi.
Shukrani ndugu
 
Ahsante kwa kuniunga mkono ndugu. Kuna watu wanaamini Katika comfort zone zao tu.
 
Uchawi upo mkuu wewe amini hivyo uchawi upo uswahilini uchawi upo ushuani kote kumejaa uchawi mtupu tena kwenye miji ya biashara au maeneo ya biashara ni kuna uchawi wa wazi wazi kabisa watu wanaroga asubuhi wanaroga mchana wanaroga usiku
Hakika, Uchawi uko Kila mahali na kwenye Kila sector!
 
Shukrani sana. Ila umeita dawa asilia kiini macho ina maana gani?
 
Naweza kwa upande mmoja nikakubaliana na wewe, ila uchawi upo,,,,cha msingi ajitahidi kufikiria positive things katika ubongo wake, aachane na negativity na pia amuombe Mungu na aamini yeye ni mzima na atapona, asiingize negativities zozote
Hata ukiwa positive kimawazo, wanakuroga na kurogeka.
 
Shukrani ndugu kwa nasahabyako
 
Uchawi haupo, sitochoka kuwaambia.

Mauza uza unayoona kwenye maisha yako ni njia fupi ambazo ubongo wako hutumia kuchakata mambo yasiyo rahisi kuelewa(cognitive biases)

Ubongo wako una kazi kubwa mno, hauwezi fanya kila kitu kikamilifu.
Sahihi
 
Kama hayajakukuta kaa kimya mkuu,,dunia ni zaidi ya uijuavyo,,,vitabu vya dini vyote vinatambua izo nguvu

Hao wazungu wenyewe walishafanya sana hayo mambo
Hakika n
 
Kwanza pole kiongoz..
Naona watu humu wanapinga uchawi haupo au haohao ndo wachaw wenyew huwez juwa, ukitaka ujue uchawi upo ingia baadhi ya sekta haswaa mambo ya biashara wanarogana sana hawa, au mambo yakuendee poa mitaan/shulen/kanisan au kijijn kwenu. Jua litakuwakia kama hujajipanga kimwil na kiroho.

Viongoz weng % kubwa wapo pale uchawi umewasaidia.

Kiuharisia UKUBARI au UKATAE Ukitaka mafanikio either ULOGE SANA nor USALI SANA. Huwa ni sir ya mtu ila ukiulza utaambiwa PAMBANA SANA

OVA
 
Haujashuhudia chochote, ni njozi, imaginations na hallucinations zako tu.
Hivi kwanini watu wenye kupinga uchawi huwa hawakutani na matukio yeyote yenye kuhusishwa na uchawi kwenye maisha yao? Yani huwezi kukuta yeye kuwahi kukutana na tukio lenye kuhusishwa na uchawi wala hata kuelezea tukio la ndugu au rafiki lenye kuhusu uchawi? Yani wapinga uchawi ni kama wanapinga historia ya karne hizo vitu ambavyo havipo tena kwenye jamii.

Ni sawa na wenye kusema ndoto hazina maana yeyote nao hukuti wakisema wanaota yani kama wao hawaoti kabisa.

Hivi ni kwa nini ipo hivyo?
 
Hata hao wanaosema wamewahi kushuhudia uchawi ukifuatilia vizuri utakuta ni story tu iliyosambaa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine lakini kiuhalisia hakuna mtu aliyeshuhudia chochote.

Kwa mfano anaweza kukutwa mtu njia panda amekaa juu ya ungo amejipaka majivu, unga au masinzi, yuko na nazi, mayai pamoja na vibuyu mtu akaruka na story kuna mtu ameanguka na ungo ila hajashudia huyo mtu kuanguka na ungo, watakuja watu wengi hapo kumzunguka na wataondoka na story kuna mtu ameanguka na ungo ila ukweli ni kwamba hakuna hata mmoja aliyeshuhudia huyo mtu akianguka na ungo.
 
Hongera kwakuweza kufikiri nje ya Box. Uko na idea nzuri ila jaribu kulifanyia maboresho idea yako na mwisho wako utakuja kujua nini unataka uwe.

Kwa sasa hivi uko na general idea ila fanyia tafiti unachokitaka kisha utakuja kukipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…