Natamani shuleni tungekuwa tunafundishwa teknolojia ya nguvu za giza na kiroho

Wazo la elimu ya energy ni jipya kwangu. Je topic hiyo inaitwa je? Kama Kuna somo nipe jina lake!
Ni elimu pana sana ila kupata idea google kuhusu Energy healing na Psychic attack.
 
Hahaha Mtu kakwambia ana umwa yuko ndani, tayari hiyo hali aliyonayo haimruhusu kutafuata pesa.

Wewe Ushaona fulsa unataka pesa, kwanini Usijitolee ukamsaidia, akipona sasa mwambie atafute pesa alipie tiba?
 
Aliyekwambia Mimi ni mtoa msaada nani.??.na nani kakwambia Mimi ndio mtoa tiba..?? Huko kwenu huwa wanatoa tiba bure kwakua tu mtu Hana Hela..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…