Natamani siku ifike haraka hata kama ni kutoka tutoke tu, nimechoka!

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Natamani hiyo siku ifike haraka tucheze tumalize, hata kama tutatoka tutoke tu, nimechoka na hii mijadala! Yaani hii wiki moja ya kusubiri marudiano imegeuka na kuwa kama mwaka, dah!

Tucheze tu, hata kama tutatoka siyo mwisho wa dunia.
 
Aliyekuambia hata ukifungwa unatoka ni nani? Bado kuna play off nyingine ya Kombe la shirikisho.

Na wakati huo huo wale vinyonga, wakivuka hatua hii, ndiyo mwisho wao unakuwa umewadia. Uwezo wa kusonga zaidi ya hapo hawatakuwa nao.
 
Hii kauli mliisema miaka yote lakini mwisho ni aibu tupu kwenu
 
Natamani na kuamini Yanga apite,ila kuna sauti toka rohoni inaniambia" Usimjaribu Bwana Mungu wako"
 
Aliyekuambia hata ukifungwa unatoka ni nani? Bado kuna play off nyingine ya Kombe la shirikisho.

Na wakati huo huo wale vinyonga, wakivuka hatua hii, ndiyo mwisho wao unakuwa umewadia. Uwezo wa kusonga zaidi ya hapo hawatakuwa nao.
Nimesema kutolewa makundi champions league sio mwisho wa dunia
 
Aliyekuambia hata ukifungwa unatoka ni nani? Bado kuna play off nyingine ya Kombe la shirikisho.

Na wakati huo huo wale vinyonga, wakivuka hatua hii, ndiyo mwisho wao unakuwa umewadia. Uwezo wa kusonga zaidi ya hapo hawatakuwa nao.
Nyie subirini kukeketwa tu hakuna jinsi nyingine
 
Screenshot_20221010-083436.png
 
Macabi lilepo anaweka bao la tatu kwa al hilal
Kesho tu mkuu kuwa na subra
 
Najua tu tunaenda kukamilisha ratiba. Bora ningekuwa shabiki wa Simba sema mzee kaniponza kumuiga kuishangilia yanga
 
Back
Top Bottom