Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Muda utafika tu mkuu na wala hutakiwi kuogopa kelele za majirani katika kuisaport timu yako , it's not over until it's over.Natamani hiyo siku ifike haraka tucheze tumalize, hata kama tutatoka tutoke tu, nimechoka na hii mijadala
Mtapigwa magoli "aruba" wallah!😂😂😂😂Natamani hiyo siku ifike haraka tucheze tumalize, hata kama tutatoka tutoke tu, nimechoka na hii mijadala...
AL HABIB THALATHA BIN THIFULI WABILAH TAIFIK HABIB نیتحقتطوتتططین حطوواط [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Hii kauli mliisema miaka yote lakini mwisho ni aibu tupu kwenuAliyekuambia hata ukifungwa unatoka ni nani? Bado kuna play off nyingine ya Kombe la shirikisho.
Na wakati huo huo wale vinyonga, wakivuka hatua hii, ndiyo mwisho wao unakuwa umewadia. Uwezo wa kusonga zaidi ya hapo hawatakuwa nao.
Nimesema kutolewa makundi champions league sio mwisho wa duniaAliyekuambia hata ukifungwa unatoka ni nani? Bado kuna play off nyingine ya Kombe la shirikisho.
Na wakati huo huo wale vinyonga, wakivuka hatua hii, ndiyo mwisho wao unakuwa umewadia. Uwezo wa kusonga zaidi ya hapo hawatakuwa nao.
Nyie subirini kukeketwa tu hakuna jinsi nyingineAliyekuambia hata ukifungwa unatoka ni nani? Bado kuna play off nyingine ya Kombe la shirikisho.
Na wakati huo huo wale vinyonga, wakivuka hatua hii, ndiyo mwisho wao unakuwa umewadia. Uwezo wa kusonga zaidi ya hapo hawatakuwa nao.
Kwanza picha linaanza ticket zinauzwa msikitini ukimaliza kuswali unapewa ticket hatoki mtu huko mkuuAL HABIB THALATHA BIN THIFULI WABILAH TAIFIK HABIB نیتحقتطوتتططین حطوواط [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]