Yenu ni hayo tu.Aliyekuambia hata ukifungwa unatoka ni nani? Bado kuna play off nyingine ya Kombe la shirikisho.
Na wakati huo huo wale vinyonga, wakivuka hatua hii, ndiyo mwisho wao unakuwa umewadia. Uwezo wa kusonga zaidi ya hapo hawatakuwa nao.
Wanajifariji wanasema simba haina mafanikio yoyote Caf champions league mpaka wachukue ubingwa wanasahau roma haikujengwa siku mojaSimba inasonga makundi Yanga inasonga ugali. Hutaki?!
Kesho sio mbali, Mungu azisimamie timu zetu hasa YangaNatamani hiyo siku ifike haraka tucheze tumalize, hata kama tutatoka tutoke tu, nimechoka na hii mijadala! Yaani hii wiki moja ya kusubiri marudiano imegeuka na kuwa kama mwaka, dah!
Tucheze tu, hata kama tutatoka siyo mwisho wa dunia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliyekuambia hata ukifungwa unatoka ni nani? Bado kuna play off nyingine ya Kombe la shirikisho.
Na wakati huo huo wale vinyonga, wakivuka hatua hii, ndiyo mwisho wao unakuwa umewadia. Uwezo wa kusonga zaidi ya hapo hawatakuwa nao.
Kwende wapi ? Yaan mkitoa CAF CL mnai gia CaF CC kule mkutane na Berkane au Pyramid wawakunyugeee kwanza alafu sasa ndio mtokeNatamani hiyo siku ifike haraka tucheze tumalize, hata kama tutatoka tutoke tu, nimechoka na hii mijadala! Yaani hii wiki moja ya kusubiri marudiano imegeuka na kuwa kama mwaka, dah!
Tucheze tu, hata kama tutatoka siyo mwisho wa dunia.