Natamani Siku kuwe na Mashindano ya Makomandoo wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ili tujue nani hasa yuko vizuri kwa Mtiti pale Kikinuka

Natamani Siku kuwe na Mashindano ya Makomandoo wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ili tujue nani hasa yuko vizuri kwa Mtiti pale Kikinuka

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna nchi moja nilikuwa Ninajidanganya nikidhania Wao ni bora kwa Kuwaona mara kwa mara kumbe ni Wachumba.
 
Teknolojia imeshika hatamu.miguvu ni show off.akili mtu angu.ukiangalia ukraine + Israel.drone zna fanya kazi kuliko askari.labda uwakutanishe mabondia toka haya majeshi.vita imehamia angani mtu anakudonoa huku anakuangalia kwenye screen unavyoteseka.yeye akiwa mamia ya makilometa.

Miaka inakuja robot zitachukua kazi ya jeshi.ingawa kutakuwa na pingamizi kuhusu matumizi yao.lakini hawatafanikiwa kuzuia hilo kutendeka.
 
Back
Top Bottom