Teknolojia imeshika hatamu.miguvu ni show off.akili mtu angu.ukiangalia ukraine + Israel.drone zna fanya kazi kuliko askari.labda uwakutanishe mabondia toka haya majeshi.vita imehamia angani mtu anakudonoa huku anakuangalia kwenye screen unavyoteseka.yeye akiwa mamia ya makilometa.
Miaka inakuja robot zitachukua kazi ya jeshi.ingawa kutakuwa na pingamizi kuhusu matumizi yao.lakini hawatafanikiwa kuzuia hilo kutendeka.