Natamani Tanzania ingeanza program ya kubomoa slums na kuanza kujenga maeneo kama haya

Natamani Tanzania ingeanza program ya kubomoa slums na kuanza kujenga maeneo kama haya

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Zikianza project kama hizi specifically maeneo ya uswazi pekee ndani ya miaka 10 slums zote zitakuwa zimeisha maana Tanzania slums zinahesabika sana.

AbdasFinal.jpg
overview_image_151192697_337412.png
overview_image_255780250_365281.png


Halafu zile informal settlements ambazo nyumba zina shape nzuri tatizo zimechoka, zimechakaa, mabati ya kutu na miundombinu mibovu.

Serikali iwalazimishe wamiliki wote kupaka rangi nyumba zao, kubadilisha mabati na kuweka mapya ya rangi, ndani ya miezi 12 la sivyo watakuwa wanalipishwa faini za mara kwa mara bila huruma.
 
Kama wameshindwa kuzuia kukua kwa slums mpya sidhani kama wana mawazo hata ya kuondoa hizo slums za zamani ambazo tayari zipo.
Hakuna dhamira ya upangaji miji na uzuiaji ujenzi holela.Hata wataalamu wa upimaji tu ni shida.Watumishi wengi wa halmashauri ambao ndiyo tegemewa kama si wote wapo katika kukata tamaa kila wakiona MISHAHARA yao kiduchu na majilio ya kikotoo chao.Wanavaa kwa kupendeza tu kulingana na dress code hitajika ila moyoni mwao wamejeruhiwa vibaya mnoo!Mola awasaidie.
 
Zikianza project kama hizi specifically maeneo ya uswazi pekee ndani ya miaka 10 slums zote zitakuwa zimeisha maana Tanzania slums zinahesabika sana
View attachment 3583194View attachment 3583195View attachment 3583196

Halafu zile informal settlements ambazo nyumba zina shape nzuri tatizo zimechoka, zimechakaa, mabati ya kutu na miundombinu mibovu
Serikali iwalazimishe wamiliki wote kupaka rangi nyumba zao, kubadilisha mabati na kuweka mapya ya rangi, ndani ya miezi 12 la sivyo watakuwa wanalipishwa faini za mara kwa mara bila huruma
Kwa wabongo ni ngumu sana zitachakazwa haraka sana.
 
Kama wameshindwa kuzuia kukua kwa slums na squatter mpya sidhani kama wana mawazo hata ya kuondoa hizo slums za zamani ambazo tayari zipo.
Sikuhizi kuna ujenzi holela, ila sidhani kama kuna ujenzi wa slums mpya. Almost slums zote Tanzania zilijengwa zamani
Kinachoniuma ni kuacha watu wajenge bila mpangilio, hata wakijenga nyumba nzuri mtaa haupendezi, haueleweki, aerial view inakaa kama slums na kufikisha huduma inakuwa mzigo
 
Back
Top Bottom