Nchi baadhi za Asia, Afrika Kusini (Namibia, Botswana)na Ulaya imewezekana.
Sheria kali zisizo na huruma kwa vibaka wa mali za umma na tupate watekelezaji wake (mahakimu/judges) ni dawa mujarabu ya kuweka mistari nyoofu.Kabisa, tupate kizazi kinachotaka kujenga nchi pekee
Sijui huwa hesabu zao hao NHC wanazipiga kwa kuiga mataifa yenye uchumi mkubwa bila kuangalia hali halisi ya Watanzania?Mambo yao ya ajabuajabu tu.NHC nasikia ni expensive kwa wazawa kwa hiyo wanapangishaga wahindi
Sijui huwa hesabu zao hao NHC wanazipiga kwa kuiga mataifa yenye uchumi mkubwa bila kuangalia hali halisi ya Watanzania?Mambo yao ya ajabuajabu tu.NHC nasikia ni expensive kwa wazawa kwa hiyo wanapangishaga wahindi
Hakuna dhamira ya upangaji miji na uzuiaji ujenzi holela.Hata wataalamu wa upimaji tu ni shida.Watumishi wengi wa halmashauri ambao ndiyo tegemewa kama si wote wapo katika kukata tamaa kila wakiona MISHAHARA yao kiduchu na majilio ya kikotoo chao.Wanavaa kwa kupendeza tu kulingana na dress code hitajika ila moyoni mwao wamejeruhiwa vibaya mnoo!Mola awasaidie.Kama wameshindwa kuzuia kukua kwa slums mpya sidhani kama wana mawazo hata ya kuondoa hizo slums za zamani ambazo tayari zipo.
Kwa wabongo ni ngumu sana zitachakazwa haraka sana.Zikianza project kama hizi specifically maeneo ya uswazi pekee ndani ya miaka 10 slums zote zitakuwa zimeisha maana Tanzania slums zinahesabika sana
View attachment 3583194View attachment 3583195View attachment 3583196
Halafu zile informal settlements ambazo nyumba zina shape nzuri tatizo zimechoka, zimechakaa, mabati ya kutu na miundombinu mibovu
Serikali iwalazimishe wamiliki wote kupaka rangi nyumba zao, kubadilisha mabati na kuweka mapya ya rangi, ndani ya miezi 12 la sivyo watakuwa wanalipishwa faini za mara kwa mara bila huruma
Sikuhizi kuna ujenzi holela, ila sidhani kama kuna ujenzi wa slums mpya. Almost slums zote Tanzania zilijengwa zamaniKama wameshindwa kuzuia kukua kwa slums na squatter mpya sidhani kama wana mawazo hata ya kuondoa hizo slums za zamani ambazo tayari zipo.