FB bana dahhh
Sante sana kwa offer
lakini mi nsha plan hii weekend
Nkae nyumbani tu nq selection ya movie
Za cartoon nizipendazo ..
Ice age zote tatu
Shrek zote nne
Kung foo panda 2
Na kama muda upo ningependa
Kuangalia Harry Porter (last one)
Halafu Jmosi kuna rugby
Wallabies (Australia ) VS All Blacks (NZ)
Dahhh
Nataka nipumzishe viungo vya mwili
Weekend hii .. niyape maji ya baraka
Mapumziko..
Samahani dear sinto kwenda out hii weekend
.......... π ...........
Bila wivu atakuaje kama kweli nampenda?
Polisi Jamii Ulinzi Shirikishi. Nimejiajiri mwenyewe kumlinda huyu malaika aliyebakia duniani.
Ukipata mimba, uishie huko huko!
Kawaida tu dear..Dah! hakia nani.... nakuonea wivu.... Ratiba yako dear imesimama...
Kawaida tu dear..
Vipi mzee atakubali uende na FB?

Tunaanzia Kaloleni maeneo ya shivaz, tunakwena Sakina, then tunarudi Kinjenge family pub na kumalizia nyumbani Moshono.
Thubutu yake.....nikilala nawafunga mshipi viunoni mwao, naunganisha na shingo ya kichwa changu...Ulinzi wako wakati wewe ukisinzia wanaruka geti wanatoroka wanakuacha unakoroma
Tuachie vijana tufanye mambo yetu bana
Babu hatafutwiWe si huwatakiwajuukuu
Wa kongwe... ngoja tutafute babu mwingine
Wa kutukagua...
Dhubutu!! Bora hata FB asingerusha huu uzi kungekua na hope (kwa next weekend)
Hahahahahaha
Next weekend ntaka kufanya house party
.... hapa nyumbani old school lolz..
Twacheza ka MC Hammer ..
Waonaje..??
Thubutu yake.....nikilala nawafunga mshipi viunoni mwao, naunganisha na shingo ya kichwa changu...

Babu hatafutwi

Babu hapigiwi kura

Babu hateuliwi

Babu hachaguliwi

Babu ni BABU na ataendelea kuwa BABU.

Afu leo hujaniamkia, malabuku!
Usiponiletea nakuchapa bakora!Babu usema ukweli sina hamu tena..
Kuanzia leo skuletei ugoro, nakuacha
Uanguke mkongojo skusigezei, maziwa
Ndo hupati..
Salamu tu utapata..
I am all in... Naomba tufanye maandalizi ya kutosha iwe ya kufa

mtu... kwa muongozo nakuaminia hivo will be looking forward.

Lakufanya saizi ni log off, kujipa nafasi hio siku iwe free kabisa!

Usiniangushe gal... (thou najua you wont)
Najua pa kukupatia....πeace::msela:Ndo hutakaa unione kuanzia leo π

Najua pa kukupatia....
Najua pa kukupatia....πeace::msela:
FB bana dahhh
Sante sana kwa offer
lakini mi nsha plan hii weekend
Nkae nyumbani tu nq selection ya movie
Za cartoon nizipendazo ..
Ice age zote tatu
Shrek zote nne
Kung foo panda 2
Na kama muda upo ningependa
Kuangalia Harry Porter (last one)
Halafu Jmosi kuna rugby
Wallabies (Australia ) VS All Blacks (NZ)
Dahhh
Nataka nipumzishe viungo vya mwili
Weekend hii .. niyape maji ya baraka
Mapumziko..
Samahani dear sinto kwenda out hii weekend
.......... π ...........
Thubutu yake.....nikilala nawafunga mshipi viunoni mwao, naunganisha na shingo ya kichwa changu...
mhhh babu acha vituko kichwa kipi sasa