Natamani zali la kupigwa kula mchana Zanzibar linipate, patachimbika

Natamani zali la kupigwa kula mchana Zanzibar linipate, patachimbika

Zile ni tamaduni zao hakuna sehemu mtu analazimishwa kufunga wala kufuata dini fulani,halafu hakuna mbwembwe ni nyie ndio mnaukuza ..Mbona waislamu hawajui kama nyie mnafunga?

Ni vizuri ukatulia kwenu !​
Acha uzuzu ww, hiyo zenji ni sehemu ya Tanzania au huelewi neno Tanzania?..Tanzania ni inchi yeye dini nyingi.
 
Acha uzuzu ww, hiyo zenji ni sehemu ya Tanzania au huelewi neno Tanzania?..Tanzania ni inchi yeye dini nyingi.
Mbona unalazimisha kwani ni kwenu🤣🤣we kichaa kweli nenda kafanye unavyotaka sasa!

Unambwela hapo.
 
Simple utetezi tu Nilikuwa napambana nilipovamiwa na watu wasiojulikana baada ya kunivamia from nowhere“ then waendesha mashtaka watafafanua ni sheria ipi Tanzania hii inaruhusu kikundi cha watu kumkamata mtu mzima na ndevu zake wasiyemjua akitumia hela zake halali kula anachokitaka bila kulazimisha kumlisha mtu na kuanza kumtandika viboko kama mtoto mdogo!!!
Nime cheka Sana aisee😂😂😂
 
Mkuu wazee ndio wanatabia hiyo ya kuchapa watu, vijana wa Zenji ni mchelemchele sana. Ukiwatisha tu hawasogei.
Hata wazee ukiwakazia watakuita hanisi tu lakini hawatathubutu kukugusa.

Mfungo wao huwa siuelewi, kwamba mtu akifunga na mimi nikala karibu yake eti anatamani kula. Binafsi naona ni vizuri kuishinda tamaa wakati wa mfungo.
 
zali hilo litakupata vp wakati uko zako kinondoni shamba huko unakoandika mipasho yako hii..ww panda boti nenda huko ukale hio mchana kama unavyojitapa nyuma ya keybord na sio unajishaua mambo ya zanzibar wakati umejificha Dar.!
 
Yani natamani na nina hamu sana zali la kupigwa kwa kula hadharani mchana badala ya usiku mwezi huu linipate huko Zenji.

Patachimbika maamae huo mkono ntakavyoutembeza. Yani ngumi za uhakika.

Chaliifrancisco gTurn hydroxo Malaria 2 Adiosamigo Mpaji Mungu PSL god mshamba_hachekwi min -me Jagina Ritz gallow bird ielewemitaa inamankusweke

Nyau de adriz
Hizi ni sifa za kijinga! Mbona iko very simple, wewe jifanye hamnazo tu ukapige msosi pale Mwanakwerekwe au Stone Town utakuja utusimulie!
 
Kwanza unapigwa suratul butwaa....
unakuwa umebung'aa tu hujielewi halafu bakora zinafata....
 
Upo kijijini Msobende unaweka mikwala ya kibabe, vuka maji wale wahuni sio kama watakupiga tu mpaka Yas(tigo) wataila hio🤣🤣
 
Yani natamani na nina hamu sana zali la kupigwa kwa kula hadharani mchana badala ya usiku mwezi huu linipate huko Zenji.

Patachimbika maamae huo mkono ntakavyoutembeza. Yani ngumi za uhakika.

Chaliifrancisco gTurn hydroxo Malaria 2 Adiosamigo Mpaji Mungu PSL god mshamba_hachekwi min -me Jagina Ritz gallow bird ielewemitaa inamankusweke

Nyau de adriz
Nakuunga mkono kabisa, wapuuzi wale wanashambulia vijana wasiojitambua akili tu. Mtu kama maisha yamekushinda si lazima upite mitaani kwa wivu wako kutafuta watu wanaokula mchana, hakuna mtu anayektazwa kula.
 
Upo kijijini Msobende unaweka mikwala ya kibabe, vuka maji wale wahuni sio kama watakupiga tu mpaka Yas(tigo) wataila hio🤣🤣
Kumbe ni wahuni wanaosaka watu, basi inabidi washikishwe adabu tu.
 
Back
Top Bottom