-ArkadHill
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 845
- 1,501
Acha uzuzu ww, hiyo zenji ni sehemu ya Tanzania au huelewi neno Tanzania?..Tanzania ni inchi yeye dini nyingi.Zile ni tamaduni zao hakuna sehemu mtu analazimishwa kufunga wala kufuata dini fulani,halafu hakuna mbwembwe ni nyie ndio mnaukuza ..Mbona waislamu hawajui kama nyie mnafunga?
Ni vizuri ukatulia kwenu !
Upo sahii kila mtu anaenda kaburini kivyake why ulazimishe kile wakiamini ujinga huuYani natamani na nina hamu sana zali la kupigwa kwa kula hadharani mchana badala ya usiku mwezi huu linipate huko Zenji.
Patachimbika maamae huo mkono ntakavyoutembeza. Yani ngumi za uhakika.
Chaliifrancisco gTurn hydroxo Malaria 2 Adiosamigo Mpaji Mungu PSL god mshamba_hachekwi min -me Jagina Ritz gallow bird ielewemitaa inamankusweke
Nyau de adriz
Mbona unalazimisha kwani ni kwenu🤣🤣we kichaa kweli nenda kafanye unavyotaka sasa!Acha uzuzu ww, hiyo zenji ni sehemu ya Tanzania au huelewi neno Tanzania?..Tanzania ni inchi yeye dini nyingi.
Nime cheka Sana aisee😂😂😂Simple utetezi tu “Nilikuwa napambana nilipovamiwa na watu wasiojulikana baada ya kunivamia from nowhere“ then waendesha mashtaka watafafanua ni sheria ipi Tanzania hii inaruhusu kikundi cha watu kumkamata mtu mzima na ndevu zake wasiyemjua akitumia hela zake halali kula anachokitaka bila kulazimisha kumlisha mtu na kuanza kumtandika viboko kama mtoto mdogo!!!
Shekhe weye wasema, ila uta pata kipigo Cha sharifu ukimbie ka ng'ombe kichaa.Yana mi nipigwe na mala urojo? Ntawafyatua
😂Shekhe weye wasema, ila uta pata kipigo Cha sharifu ukimbie ka ng'ombe kichaa.
Mufti kuku The Infinity Chaliifranciscozali hilo litakupata vp wakati uko zako kinondoni shamba huko unakoandika mipasho yako hii..ww panda boti nenda huko ukale hio mchana kama unavyojitapa nyuma ya keybord na sio unajishaua mambo ya zanzibar wakati umejificha Dar.!
Hizi ni sifa za kijinga! Mbona iko very simple, wewe jifanye hamnazo tu ukapige msosi pale Mwanakwerekwe au Stone Town utakuja utusimulie!Yani natamani na nina hamu sana zali la kupigwa kwa kula hadharani mchana badala ya usiku mwezi huu linipate huko Zenji.
Patachimbika maamae huo mkono ntakavyoutembeza. Yani ngumi za uhakika.
Chaliifrancisco gTurn hydroxo Malaria 2 Adiosamigo Mpaji Mungu PSL god mshamba_hachekwi min -me Jagina Ritz gallow bird ielewemitaa inamankusweke
Nyau de adriz
Unakita jitu zima limeamua kushinda njaa kwa hiari yake mwenyewe then likiona unakula lina mind. Kweli dini ni ukichaaWengi tusioamini dini na imani hiyo tunatamani kupigwa kwa kula mchana nasi tutoe kichapo kwa kukataa upuuzi huo wa imani
Kama unajiona mwamba omba mechi tuzichape Maarass.
Mkuu vip kwaiyo saiv kile kijiwe cha mdudu tumestop kidogo kwenda mpaka mwezi uishe😂😂🏃Kama unajiona mwamba omba mechi tuzichape Maarass.
Nakuunga mkono kabisa, wapuuzi wale wanashambulia vijana wasiojitambua akili tu. Mtu kama maisha yamekushinda si lazima upite mitaani kwa wivu wako kutafuta watu wanaokula mchana, hakuna mtu anayektazwa kula.Yani natamani na nina hamu sana zali la kupigwa kwa kula hadharani mchana badala ya usiku mwezi huu linipate huko Zenji.
Patachimbika maamae huo mkono ntakavyoutembeza. Yani ngumi za uhakika.
Chaliifrancisco gTurn hydroxo Malaria 2 Adiosamigo Mpaji Mungu PSL god mshamba_hachekwi min -me Jagina Ritz gallow bird ielewemitaa inamankusweke
Nyau de adriz
Kumbe ni wahuni wanaosaka watu, basi inabidi washikishwe adabu tu.Upo kijijini Msobende unaweka mikwala ya kibabe, vuka maji wale wahuni sio kama watakupiga tu mpaka Yas(tigo) wataila hio🤣🤣