Natamani zali la kupigwa kula mchana Zanzibar linipate, patachimbika

Jamaa huwa wapo serious sana aise. Nimewahishuhudia miaka flan shuleni nilipokuwa nasoma. Wanakuua hivihivi kwa kisingizio cha kutetea dini.
 
We nenda na jiko la gesi ukapike pale msikitini nje Leo mchana. Hapo ndio Utajua hujui huo mkono unaosema
 
Be careful na sheria za nchi za watu mdau. Hatutaki kukupoteza. Hasira za muungano zinaweza kukugeukia.
Sheria ipi? Naomba tuwekee kifungu unachokifanyia reference. Otherwise ni imani tu inawafanya wawe vile.
 
Hizo zinaitwa Bylaws sio lazima hadi uzione kwenye katiba.
Kwamba wananchi wote wa Zanzibar wamekubaliana asile mtu mchana hadharani atakayekiuka atapewa adhabu fulani,sasa ukikiuka na kupewa hiyo adhabu hauna cha kuwafanya.
Ni sawasawa mtaani/kijijini kwenu wananchi wote wakikubaliana kulinda kama sungusungu kwa zamu wewe ukipinga utaadhibiwa au utapewa faini na hauna pa kuwashtaki
 
Hizi ni sifa za kijinga! Mbona iko very simple, wewe jifanye hamnazo tu ukapige msosi pale Mwanakwerekwe au Stone Town utakuja utusimulie!

Mkuu acha hio mitaa ya kisharo. Kuna mitaa inaitwa Baghdad, Basra, Madina sasa atoke huo upuuzi wake akafanye kwenye hiyo mitaa ya Ansar Sunna, kwa hakika hiyo siku hatoisahau.
 
Mkuu acha hio mitaa ya kisharo. Kuna mitaa inaitwa Baghdad, Basra, Madina sasa atoke huo upuuzi wake akafanye kwenye hiyo mitaa ya Ansar Sunna, kwa hakika hiyo siku hatoisahau.
Mchoree ramani mkuu ajipitishe hapo na msosi wake hiyo kesho akione cha mtema kuni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…