Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Nakuunga mkono hojaMimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .
Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .
Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.
Mungu ibariki Chadema .
Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .

Mungu ibariki Chadem
Kumbe majigambo na kunimwambafai umeanza zamani?!Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri )
unamaanisha hivi ?Kuiunga mkono chadema nikuiunga mkono ccm bila ku jua
Tanzania hatuna chama Cha upinzani bado Ila tuna ccm A yenye sura ya chama tawala na ccm B yenye sura ya upinzani
Bado tunasafari ndefu mkuu
Umasikini ni dhambiKumbe majigambo na kunimwambafai umeanza zamani?!
Hongera sana, umejitahidi kuishi kiapo chakoMimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .
Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .
Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.
Mungu ibariki Chadema .
AmenHongera sana, umejitahidi kuishi kiapo chako
acha uongo, ungekuwa na mali hizo usingeshinda jf kuwasifia mafisadi wa chademaKwani utajiri ni nini!!?
Mimi nina bus za mikoani 4, fuso 3, "vichanja" viwili, mashamba nane(hekari 16200),lodges (1* mpaka 3* saba), nyumba za kupangisha 17.
Je mimi ni tajiri au sio tajiri!?
Kama ni tajiri,kwani namfikia "mooo" wako!!??
Ni masikini wa shukrani, akili na elimu pekee ambaye anaweza kujivunia umasikini.
Utajiri ni neema,na kukiri kuwa u tajiri ni ibada ya sifa na shukrani kwa yule atoaye utajiri na kila kilicho chema, yaani Mungu Baba wa Mbinguni.
Umasikini ni laana. Kujisifia kuwa wewe ni masikini ni kutomshukuru Mungu kwa kukuumba kwa mfano wake.
Maana yake ni kumwambia Mungu kuwa wewe si mfano wake.
Issue siyo utajiri au umaskini, issue ni kujimwambafai!Umasikini ni dhambi
Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .
Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .
Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.
Mungu ibariki Chadema .
Upo na Mimi KAMANDAMsimamo huu haujabadilika na wala hautabadilika
Hahaaaa....pole sana.acha uongo, ungekuwa na mali hizo usingeshinda jf kuwasifia mafisadi wa chadema
Kwan ulikuwa hauiungi mkono CDM? Leo ndio umevutiwa na Sera za CDM? Ulikuwa haujavutiwa? Kila siku unatuma SMS za CDM. Leo unasema umeamua kuunga mkono. Mbona haueleweki? Au ndio kuchanganyikiwa? Halafu unasema ww ni tajiri. Utajiri wako ni kama wa Dangote au nikutafuta Kiki tu?Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .
Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .
Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.
Mungu ibariki Chadema .
AmenUpo na Mimi KAMANDA
Robert Mbowe MugabeWakati naandika haya nilijua kutakuwa na Chaguzi za ndani
Nje ya madaPierre ..... Nkurunziza