Natangaza kuiunga mkono CHADEMA katika maisha yangu yote yaliyosalia hapa duniani, Mungu nisaidie

Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .

Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .

Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.

Mungu ibariki Chadema .
Nakuunga mkono hoja
 
Mungu ibariki Chadem

Kuiunga mkono chadema nikuiunga mkono ccm bila ku jua

Tanzania hatuna chama Cha upinzani bado Ila tuna ccm A yenye sura ya chama tawala na ccm B yenye sura ya upinzani

Bado tunasafari ndefu mkuu
 
unamaanisha hivi ?

2183704_IMG_1183.jpg
 
Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .

Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .

Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.

Mungu ibariki Chadema .
Hongera sana, umejitahidi kuishi kiapo chako
 
Kwani utajiri ni nini!!?
Mimi nina bus za mikoani 4, fuso 3, "vichanja" viwili, mashamba nane(hekari 16200),lodges (1* mpaka 3* saba), nyumba za kupangisha 17.
Je mimi ni tajiri au sio tajiri!?
Kama ni tajiri,kwani namfikia "mooo" wako!!??

Ni masikini wa shukrani, akili na elimu pekee ambaye anaweza kujivunia umasikini.

Utajiri ni neema,na kukiri kuwa u tajiri ni ibada ya sifa na shukrani kwa yule atoaye utajiri na kila kilicho chema, yaani Mungu Baba wa Mbinguni.

Umasikini ni laana. Kujisifia kuwa wewe ni masikini ni kutomshukuru Mungu kwa kukuumba kwa mfano wake.

Maana yake ni kumwambia Mungu kuwa wewe si mfano wake.
acha uongo, ungekuwa na mali hizo usingeshinda jf kuwasifia mafisadi wa chadema
 
Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .

Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .

Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.

Mungu ibariki Chadema .
 
Attachments

  • FB_IMG_1703050377268.jpg
    FB_IMG_1703050377268.jpg
    50.4 KB · Views: 4
Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .

Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .

Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.

Mungu ibariki Chadema .
Kwan ulikuwa hauiungi mkono CDM? Leo ndio umevutiwa na Sera za CDM? Ulikuwa haujavutiwa? Kila siku unatuma SMS za CDM. Leo unasema umeamua kuunga mkono. Mbona haueleweki? Au ndio kuchanganyikiwa? Halafu unasema ww ni tajiri. Utajiri wako ni kama wa Dangote au nikutafuta Kiki tu?
 
Back
Top Bottom