Natangaza kuiunga mkono CHADEMA katika maisha yangu yote yaliyosalia hapa duniani, Mungu nisaidie

Hongera mkuu sisi wenzio tulisha ona mbali kwa darubini Kali tukajiunga siasa za upinzani tunaishi kwa raha kabisa sasa.

1. Hatubebwi kwenye malori Kama matikiti kwenda ktk mikutano kulinda heshima zetu na utu wetu.

2. Hatusubirii kujikomba komba kwa watu mpaka unauza utu wako eti uteuliwe kacheo ka kipuuzi tuu.

3. Hatufikiri kwa kutumia ile kitu ambayo masaburi amesema wenzetu huko lumumba wanatumia kufikiri.
 
Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .

Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .

Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.

Mungu ibariki Chadema .
Screenshot_2016-10-14-13-59-44-1.png

Njaa mbaya sana.
 
Naunga hoja
 
Mie sina chama!! Mwananchi wa kawaida siwezi kuchukuwa kadi ya chana. Mie nachagua kiongozi yeyote mwenye hoja za kuniridhisha basi.
 
Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .

Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .

Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.

Mungu ibariki Chadema .
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Mm nilijiunga ccm then nikaenda Chadema tena baada ya mwaka mmoja nikarudi ccm. Kipindi cha uchaguz mafuriko ya Lowassa yalinirudisha Chadema, sasa hivi Nina mpango wa kujiunga Ccm kumuunga mkono Mheshimiwa rais Ila najua kabisa ipo siku nitarudi tena Chadema.
 
Hiyo inaitwa kupiga misele .
 
Dah! mkuu sijui ulishanywesha nini tu. yani hakuna kitu uliwahi kukipenda, unakipenda na utakachokipenda kutoka serikali inayoongozwa na ccm.
hongera kwa msimamo thabiti.
 
Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .

Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .

Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.

Mungu ibariki Chadema .
Hongera kwa kusimamia Itikadi yako
 
Mleta mada anasema Chadema ni chama kisichotikisika ha ha mbona kilisema lowasa fisadi baadaye kikatikisika na kunywea? Wabunge wanakihama eti hakitikisiki!!!!!!! Haya wee
 
Back
Top Bottom