Natangaza kuiunga mkono CHADEMA katika maisha yangu yote yaliyosalia hapa duniani, Mungu nisaidie

Natangaza kuiunga mkono CHADEMA katika maisha yangu yote yaliyosalia hapa duniani, Mungu nisaidie

Mungu ibariki CHADEMA.
Mungu kilaani kile kigenge cha majangili cha Lumumba
 
Hili ni tatizo tu la kisaikolojia...pale mtu anapogeuza uanachama wa chama fulani kama imani ya DINI au KABILA. Chama cha siasa siyo DINI wala KABILA bali ni mkusanyiko tu wa watu wenye kuunganishwa na SERA na ITIKADI fulani tena kwa wakati maalum. Sera na itikadi hizo zinapobadilika kutokana na wakati au mabadiliko ya Kijamii, kiuchumi na Kisiasa basi watu hao wanaweza kubadilika kimtazamo na kufuata SERA na ITIKADI zinazoendana na wakati husika katika vyama vingine.

Sasa mtu anaposema yupo chama fulani milele ni dhahiri kwamba hajui nini maana ya SIASA au anayochukulia SIASA katika mtazamo wa KIDINI au KIKABILA ingawa hata dini watu huwa wanabadilisha kwa sababu maalum.
Mku labda uelewa wangu ni mdogo. Hivi unajua yakuwa Itikadi sehemu ya imani na kama sio Imani ni kwa nini hayo Imani inaishi mioyoni mwa watu kama zilivyo imani zingine. Mku usicheze na kitu Itikadi watu wanatofautiana kwa ajili Itikadi fuatilia vizuri kwani Itikadi sio ile mtu kuvaa sare za chama ila Itikadi inaishi ktk vizazi vya jamii ndo maana kila uchao inazidi kusambaa vijijini hadi mijini.
 
CHADEMA bado itakuwa Imara sana pamoja na haya tunayopitia
Mku kwani hakipo imara Ukisema hivyo unakichulia hiki chama. Narudia tena chadema ni chama kilichojengwa ktk mioyo ya watu kama yalivyo majengo. Hivi ulishawahi kujiuliza kwa nini chadema ktk mikutano yake ya vijijini na mijini kwa nini haibebi Wasanii au Bendi za mziki kwa ajili ya kuvuta watu hii ni kwa sababu ya wenye Itikadi chadema wako kila mahala na kila uchao wanapenda kujiunga au kuwa shabiki wa hiki chama. Likipigwa rege lenye farisafa chama mbogamboga linachanganyikiwa watu raia wanavyoonyesha hari ya kuwa wamoja. Hiki chama ni chama imara kuliko na imara uko rohoni anayebisha aruhusu mkutano mmoja pale Chato na Ruangwa ndo uamini kuvuiwa kwa mikutano ndo wenye Itikadi wanazidi kuhaha kama mtu mwenye kiu ya maji. Mti mrefu ndo hupigwa na upepo Sana kwa hiyo chadema ni mti mrefu
 
Mku labda uelewa wangu ni mdogo. Hivi unajua yakuwa Itikadi sehemu ya imani na kama sio Imani ni kwa nini hayo Imani inaishi mioyoni mwa watu kama zilivyo imani zingine. Mku usicheze na kitu Itikadi watu wanatofautiana kwa ajili Itikadi fuatilia vizuri kwani Itikadi sio ile mtu kuvaa sare za chama ila Itikadi inaishi ktk vizazi vya jamii ndo maana kila uchao inazidi kusambaa vijijini hadi mijini.
Kaka nadhani unachanganya mambo... kuna tofauti kubwa sana kati ya IMANI na ITIKADI. Kwa tafsiri ya kawaida ( ntaomba nitumie lugha kigeni kwa usahihi wa maana);

FAITH is a strong belief in the doctrines of religion based on spiritual conviction rather than proof while IDEOLOGY is a system of ideas and ideals especially one which forms the basis of political or economic theory and policy.

Nadhani utakua umeelewa utofauti wa hivi vitu viwili.
 
Kaka fafanua na mm nipate maana nadhani nilichomaanisha umekielewa
 
Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .

Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .

Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.

Mungu ibariki Chadema .

karibu kwenye chama chenye maono na chama kiongozi achana na chama cha makanikia!
 
Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .

Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .

Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.

Mungu ibariki Chadema .
Ukijua leo sio kesho huwezi kusema maneno kama haya ya kujiunga na chama cha siasa na kusema hivi labda uwe wewe ndio mmiliki wa chama cha siasa.
-Rejea hotuba ya M/kiti wa CHADEMA akimkaribisha Lowassa.
"Katika siasa hakuna uadui wa kudumu" hii ina maana moja kwa moja kuna maslahi ya kudumu.
Wenye chama wanajua kuna maslahi ya kudumu wewe hujui sijui ni kwanini.
-Lengo kuu la chama cha siasa ni kushika dola na kama hakifanikiwi katika hilo kinafeli kwa asilimia kadhaa na baada ya muda kinapotea.
-Siasa ni ajira na watu wanaishi kwasababu ya siasa. Wanajenga, wanasomesha, wanaoa n.k.
Kama siasa si ajira yako usile yamini na wanasiasa.
Nipigwe mawe siku nikianza kushabikia wanasiasa na vyama vyao ndio wanaofanya nchi zetu haziendelei na 20% yamapato ya nchi wanagawana wao.
Siku ukipatikana mfumo tofauti wa kuendesha nchi na CCM,CHADEMA na vyama vingine vikatoweka huenda kukawa na mabadiliko ya maana kwa maendeleo ya nchi.
Siku ukikutana ana kwa ana na wanasiasa na unafiki wao ndipo utakaposhangaa
 
Unajua kwanini mpaka leo Lowassa hajashitakiwa ?
Kwasababu viongozi wastaafu wanalindana na wametunyonya mpaka wamechoka.
Mwanasisa tajiri mara nyingi utajiri wake umetokana na siasa na siasa haina biashara zaidi ya ufisadi na mgongano wa maslahi.
Usiniambie wanasiasa ambao hawajafikishwa mahakamani sio mafisadi?
Basi kwa hoja hiyo nchi hii hata mafisadi haina maana magereza yangejaa.
Jua pia sheria na haki ni vitu vi 2 tofauti kabisa.
 
Ni aibu sana kumnunua mbunge kwa hela ya madafu 300 ml , huku akina mama wajawazito wakiagizwa pamba na gloves kwa ajili ya kujifungua.
Wewe tajiri lofa kalipe mishahara ya wafanyakazi wa ofisi za Chadema wanaambiwa chama hakuna hela si ulipe kuokoa aibu ya chama tajiri koko wewe
 
Yeah ! Ni kwamba sikuchukua uamuzi huu kwa kununuliwa , maana ninao uwezo wa kujikimu ,

Pia ikumbukwe kuwa hii si mara yangu ya kwanza kuwa chadema , bali sasa nimeamua kuwa chadema milele .
Na ndiyo utajiri! Chadema buana...
 
Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .

Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .

Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.

Mungu ibariki Chadema .
Bravo. Tanganyika hoyeee.
 
Back
Top Bottom