Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisawa na yule kipofu aliyefunuliwa kuona kwa muda mfupi, na akaona punda. Hivyo kila analoambiwa huuliza "Ni kama punda?"wewe ni tajiri au una hela tu ya kubadilisha mboga? unadhani matajiri huwa wanaasem?
wewe ni tajiri au una hela tu ya kubadilisha mboga? unadhani matajiri huwa wanaasem?
Mku labda uelewa wangu ni mdogo. Hivi unajua yakuwa Itikadi sehemu ya imani na kama sio Imani ni kwa nini hayo Imani inaishi mioyoni mwa watu kama zilivyo imani zingine. Mku usicheze na kitu Itikadi watu wanatofautiana kwa ajili Itikadi fuatilia vizuri kwani Itikadi sio ile mtu kuvaa sare za chama ila Itikadi inaishi ktk vizazi vya jamii ndo maana kila uchao inazidi kusambaa vijijini hadi mijini.Hili ni tatizo tu la kisaikolojia...pale mtu anapogeuza uanachama wa chama fulani kama imani ya DINI au KABILA. Chama cha siasa siyo DINI wala KABILA bali ni mkusanyiko tu wa watu wenye kuunganishwa na SERA na ITIKADI fulani tena kwa wakati maalum. Sera na itikadi hizo zinapobadilika kutokana na wakati au mabadiliko ya Kijamii, kiuchumi na Kisiasa basi watu hao wanaweza kubadilika kimtazamo na kufuata SERA na ITIKADI zinazoendana na wakati husika katika vyama vingine.
Sasa mtu anaposema yupo chama fulani milele ni dhahiri kwamba hajui nini maana ya SIASA au anayochukulia SIASA katika mtazamo wa KIDINI au KIKABILA ingawa hata dini watu huwa wanabadilisha kwa sababu maalum.
Mku kwani hakipo imara Ukisema hivyo unakichulia hiki chama. Narudia tena chadema ni chama kilichojengwa ktk mioyo ya watu kama yalivyo majengo. Hivi ulishawahi kujiuliza kwa nini chadema ktk mikutano yake ya vijijini na mijini kwa nini haibebi Wasanii au Bendi za mziki kwa ajili ya kuvuta watu hii ni kwa sababu ya wenye Itikadi chadema wako kila mahala na kila uchao wanapenda kujiunga au kuwa shabiki wa hiki chama. Likipigwa rege lenye farisafa chama mbogamboga linachanganyikiwa watu raia wanavyoonyesha hari ya kuwa wamoja. Hiki chama ni chama imara kuliko na imara uko rohoni anayebisha aruhusu mkutano mmoja pale Chato na Ruangwa ndo uamini kuvuiwa kwa mikutano ndo wenye Itikadi wanazidi kuhaha kama mtu mwenye kiu ya maji. Mti mrefu ndo hupigwa na upepo Sana kwa hiyo chadema ni mti mrefuCHADEMA bado itakuwa Imara sana pamoja na haya tunayopitia
Kaka nadhani unachanganya mambo... kuna tofauti kubwa sana kati ya IMANI na ITIKADI. Kwa tafsiri ya kawaida ( ntaomba nitumie lugha kigeni kwa usahihi wa maana);Mku labda uelewa wangu ni mdogo. Hivi unajua yakuwa Itikadi sehemu ya imani na kama sio Imani ni kwa nini hayo Imani inaishi mioyoni mwa watu kama zilivyo imani zingine. Mku usicheze na kitu Itikadi watu wanatofautiana kwa ajili Itikadi fuatilia vizuri kwani Itikadi sio ile mtu kuvaa sare za chama ila Itikadi inaishi ktk vizazi vya jamii ndo maana kila uchao inazidi kusambaa vijijini hadi mijini.
Kaka fafanua na mm nipate maana nadhani nilichomaanisha umekielewaKaka nadhani unachanganya mambo... kuna tofauti kubwa sana kati ya IMANI na ITIKADI. Kwa tafsiri ya kawaida ( ntaomba nitumie lugha kigeni kwa usahihi wa maana);
FAITH is a strong belief in the doctrines of religion based on spiritual conviction rather than proof while IDEOLOGY is a system of ideas and ideals especially one which forms the basis of political or economic theory and policy.
Nadhani utakua umeelewa utofauti wa hivi vitu viwili.
Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .
Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .
Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.
Mungu ibariki Chadema .
[emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 417977
Njaa mbaya sana.
Ukijua leo sio kesho huwezi kusema maneno kama haya ya kujiunga na chama cha siasa na kusema hivi labda uwe wewe ndio mmiliki wa chama cha siasa.Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .
Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .
Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.
Mungu ibariki Chadema .
Kwasababu viongozi wastaafu wanalindana na wametunyonya mpaka wamechoka.Unajua kwanini mpaka leo Lowassa hajashitakiwa ?
Wewe tajiri lofa kalipe mishahara ya wafanyakazi wa ofisi za Chadema wanaambiwa chama hakuna hela si ulipe kuokoa aibu ya chama tajiri koko weweNi aibu sana kumnunua mbunge kwa hela ya madafu 300 ml , huku akina mama wajawazito wakiagizwa pamba na gloves kwa ajili ya kujifungua.
Na ndiyo utajiri! Chadema buana...Yeah ! Ni kwamba sikuchukua uamuzi huu kwa kununuliwa , maana ninao uwezo wa kujikimu ,
Pia ikumbukwe kuwa hii si mara yangu ya kwanza kuwa chadema , bali sasa nimeamua kuwa chadema milele .
Halafu utajiri wangu si wa majini wala wa viungo vya binadamu , nadhani ndio maana kila mwaka nacheka tu .Na ndiyo utajiri! Chadema buana...
Msimamo wangu ni ule uleUmechagua fungu lililo jema ila kumbuka kauli ni kama kiapo
Wote wameondoka na Mwendazake
Mwenzio Musiba yamemkuta , wewe bado upo ?Mimi hukuhuku CCM mpaka kieleweke.
Mandela angefuata ushauri wako angefia jelaLower your expectations and live happier life... siasa si sayansi inanyumbuka utaumia kijana
Bravo. Tanganyika hoyeee.Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .
Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .
Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.
Mungu ibariki Chadema .